Wajue wanawake watatu magaidi ndani ya Marekani

Wajue wanawake watatu magaidi ndani ya Marekani

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,664
Ilhan Omar
Huyu wazazi wake waliomba ukimbizi Marekani kutokana na vita ya ugaidi huko Somalia. Mama yake mzazi alidanganya uhamiaji kuwa anaandamwa na magaidi baada ya kubadili dini na kuwa mkirsto kumbe ilikuwa ni janja ya kuingia Marekani

Huyo Ilihan alifika Marekani akiwa na miaka minne amesoma kupitia kodi za wamarekani, ila alipoingia bungeni anaitukana Serikali ya Marekani na kuidharau amesahau huko Somalia ndugu zake wanakufa njaa, amesahau wema wote.

Elite wa USA wanamuangalia hajui kesho yake, waliompigia kura wanajuta, amewatukana waisrael amesahau Israel ndio imeisimamisha Marekani. Ametengeneza maadui kwa wazawa kila kukicha anatishiwa kufa na wazalendo

Rashida Tlaib
Huyu naye ni mpalestina kule wanapotoka magaidi wa dunia.
Familia yake ilihamia Michigani miaka kadhaa iliyopita naye alianza kwa fujo miaka ya 2008 kupitia Democratic ila alisoma alama za nyakati baada ya kuonjaa shuruba za elite mara kwa mara

Huyu anaipenda Palestina kuliko Marekani inayomlipa mshahara maajabu haya

Unajiuliza kama anaipenda Palestina mbona wakiwa deported wanazimiaga airport

Ocarcio Alexandria
Huyu anatoka New York asili yake ni Tibeti kisiwa pendwa na Marekani

Ila anaitukana Serikali ya Marekani
Bahati mbaya wamegundua huyu dada ni mgonjwa wa akili.

Wapiga kura wanajuta wengi wanajiuliza akijipenyezaje yadi akagombea wazalendo wamarekani wanadai sera za uhamiaji zibadilishwe ili kuepuka magaidi ndani ya Marekani

Kweli kuna watu hawana shukrani duniani

Ipo siku watatamani siku zirudi nyuma
 
Kinana msomali na Jiwe myarwanda na wale wadosi wanaotuibia na wale wachina majangili. Hao unahitaji kuwaongelea kwanza kabla hujavuka bahari

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ilhan omar
Huyu wazazi wake waliomba ukimbizi marekan kutokana na vita ya ugaidi huko somalia mama ake mzazi alidanganya uhamiaji kuwa anaandamwa na magaidi baada ya kubadili dini na kuwa mkirsto kumbe ilikuwa ni janja ya kuingia marekani
Huyo ilihan alfika marekani akiwa na miaka minne amesoma kupitia kodi za wamarekani, ila alipoingia bungen anaitukana serkali ya marekani na kuidharau amesahau huko somalia ndugu zake wanakufa njaa amesahau wema wote
Elite wa usa wanamuangalia hajui kesho yake, waliompigia kura wanajuta, amewatukana waisrael amesahau israel ndio imeisimamisha marekani
Ametengeneza maadui kwa wazawa kila kukicha anatishiwa kufa na wazalendo

Rashida tlaib
Huyu naye ni mpalestina kule wanapotoka magaidi wa dunia
Familia yake ilihamia michigani miaka kadhaa iliyopita naye alianza kwa fujo miaka ya 2008 kupitia democratic ila alisoma alama za nyakati baada ya kuonjaa shuruba za elite mara kwa mara

Huyu anaipenda palestina kuliko marekani inayomlipa mshahara maajabu haya

Unajiuliza kama anaipenda palestina mbona wakiwa deported wanazimiaga airport

Ocarcio alexandria
Huyu anatoka new york asili yake ni tibeti kisiwa pendwa na marekani

Ila anaitukana serkali ta marekani
Bahati mbaya wamegundua huyu dada ni mgonjwa wa akili
Wapiga kura wanajutA wengi wanajiuliza akijipenyezaje yadi akagombea wazalendo wamarekani wanadai sera za uhamiaji zibadilishwe ili kuepuka magaidi ndani ya marekani

Kweli kuna watu hawana shukrani duniani

Ipo siku watatamani siku zirudi nyuma
Uko vizuri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ibabidi tuwaongelee wasomali ni watu wasiokuwa na shukrani
Kinana msomali na Jiwe myarwanda na wale wadosi wanaotuibia na wale wachina majangili. Hao unahitaji kuwaongelea kwanza kabla hujavuka bahari

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ilhan omar
Huyu wazazi wake waliomba ukimbizi marekan kutokana na vita ya ugaidi huko somalia mama ake mzazi alidanganya uhamiaji kuwa anaandamwa na magaidi baada ya kubadili dini na kuwa mkirsto kumbe ilikuwa ni janja ya kuingia marekani
Huyo ilihan alfika marekani akiwa na miaka minne amesoma kupitia kodi za wamarekani, ila alipoingia bungen anaitukana serkali ya marekani na kuidharau amesahau huko somalia ndugu zake wanakufa njaa amesahau wema wote
Elite wa usa wanamuangalia hajui kesho yake, waliompigia kura wanajuta, amewatukana waisrael amesahau israel ndio imeisimamisha marekani
Ametengeneza maadui kwa wazawa kila kukicha anatishiwa kufa na wazalendo

Rashida tlaib
Huyu naye ni mpalestina kule wanapotoka magaidi wa dunia
Familia yake ilihamia michigani miaka kadhaa iliyopita naye alianza kwa fujo miaka ya 2008 kupitia democratic ila alisoma alama za nyakati baada ya kuonjaa shuruba za elite mara kwa mara

Huyu anaipenda palestina kuliko marekani inayomlipa mshahara maajabu haya

Unajiuliza kama anaipenda palestina mbona wakiwa deported wanazimiaga airport

Ocarcio alexandria
Huyu anatoka new york asili yake ni tibeti kisiwa pendwa na marekani

Ila anaitukana serkali ta marekani
Bahati mbaya wamegundua huyu dada ni mgonjwa wa akili
Wapiga kura wanajutA wengi wanajiuliza akijipenyezaje yadi akagombea wazalendo wamarekani wanadai sera za uhamiaji zibadilishwe ili kuepuka magaidi ndani ya marekani

Kweli kuna watu hawana shukrani duniani

Ipo siku watatamani siku zirudi nyuma
Doh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom