Katika hiyo orodha, nawatetea wawili kwani nina hakika nao.
Aden 'Msomali' Rage - kamaliza Adv. Diploma ya Business, ShyCom miaka ya 70s.
John Komba - kamaliza Cert. ya Ualimu Grade 2 Kleruu miaka ya 80s.
Halafu hiyo headingi yako, "vihiyo....."
Unaelewa ni watanzania wangapi wenye elimu ya msingi na sekondari?? Kwa hiyo kwa mwono wako 80% ya Wa Tz ni vihiyo??
wacha kutukana Watanzania ndugu
Mkuu hapa tunamaanisha VIONGOZi waliochaguliwa, sasa kama kiongozi mbunge atakuwa kihiyo na tunajua watanzania wengi hawana elimu sana itakuaje? tunataka kiongozi at least ana elimu dunia ya leo mkuu, awaongoze hawa wengi wasio na elimu, je itakuwaje walimu wakiwa hawana kitu kabisa kichwani awaongoze wanafunzi na kuwafundisha? ELIMU. elimu, hapa hakuna utani
Tunaweza kuwapima kwa kazi zao, walichofanya na ambacho hawajafanya? Badala ya hii kasumba ya ukoloni mamboleo ya kuhusudu vyeti bila kujali performance ya mtu ?
Kuna watu wengine wana akili sana wanaona kwenda shule kupoteza muda tu.
Hivi John Mnyika kaenda Chuo gani zaidi ya Form Six? Lakini ushawahi kumsikia John Mnyika aki articulate vitu? Ushawahi kusoma policy analysis za Mnyika? He has all the markings of a policy wonk, hana hata degree moja na I doubt kama ana cheti chochote zaidi ya Form Six, lakini ka invest muda wake katika social causes, kapata elimu dunia kubwa ambayo hata Harvard huwezi kuipata.
Ukinipa mtu kama huyu mimi naona ana elimu kubwa sana kumshinda Chenge aliyeenda Harvard lakini yuko horribly out of touch with wananchi.
Hebu muangalie Mnyika anavyo articulate mambo eloquently, with poise and confidence, sasa unataka kuniambia mtu kama huyu kwa mujibu wa list hiyo ya juu hajaelimika?
Hao wenye nyekundu wote ni wahitimu wa Seminary ya Kipalapala
Mkuu sikubaliani na wewe. j sumari ni naibu waziri wa fedha anawezakua frm iv kweli?
Mgimwa alikua Bosi mkubwa BOT na ana PhD kutoka chuo cha BOT Mwanza. CV yake nimeiona.
Rage kitaluma ni mhasibu na inasemekana ana CPA sasa hiyo frm Iv imetoka wapi mkuu?
Mkuu sikubaliani na wewe. j sumari ni naibu waziri wa fedha anawezakua frm iv kweli?
Mgimwa alikua Bosi mkubwa BOT na ana PhD kutoka chuo cha BOT Mwanza. CV yake nimeiona.
Rage kitaluma ni mhasibu na inasemekana ana CPA sasa hiyo frm Iv imetoka wapi mkuu?
Mkuu ur absolutely right, 100%, few phrases in ur statements tell me u went to school, and u know exactly what Education is, but i am getting trouble kukuelewa kwa DUNIA ya leo unakuwa na such a big number ya wabunge wenye elimu ndogooooooooooo, vihiyo, najua si wote hawatawajibika ipasavyo ila kuhusu miswada mizito, ya sheria, mikataba ya madini nk what are they going to contribute? na uhakika 95% ya hawa wataenda kulala yaani ni vululuvululu fofofo bungeni plus waleeee wengiiiiiii wa viti Maalum yaani mkuu ukiwa na uchungu na nchi ukachukua gharama ya mbunge mmoja ambaye ni kihiyo utalia, tutakuwa maskini hadi mwisho, ELIMU ni Muhimu sana forget katiba yetu iliyopitwa na wakati tusiwe na zigzag for this, period,
naona kama orodha ni ya kitambo sana hii. kwa kweli kati ya watu ninaowaheshimu sana kwa kutumia taaluma vizuri kwa vitendo ni mheshimiwa ali ramadhani kihiyo. hivyo hizi kejeli za watu wenye elimu ya darasa la saba na kidato cha nne kuwaita vihiyo zinadhihirisha kuwa umjui vyema mh. A. R. Kihiyo. jiulize kama mtu aliyekuwa na FTC aliweza ku-deliver katika nafasi ya Engineer hadi nje ya nchi (expert), ni mtu wa kubeza huyo?? tunahitaji watu wenye uwezo wa ku-deliver. kama hao ulioorodhesha wana uwezo huo. wanafaa mara mia kuliko maprofesa wasio nao.
POLE SANA NDUGU YANGU!
Hao wenye nyekundu wote ni wahitimu wa Seminary ya Kipalapala
Got you,
Tuongeze formal education, lakini tusihukumu watu wholly based on formal education, wala tusichague watu kutokana na formal education tu.It is a far more complex equation than that.
Mbunge mteule wa Ubungo mbona hayupo
Sio Kuhukumu to tell somebody elimu yake ndogo na ni kweli, in the world we are living today, u will agree with me we face complex challenges,
so tena hawa wapo walio pata DIV O bila shaka plus wale wa Viti maalum zero ni nyingi saaaaana, sasa sehemu kama bunge, muhimili so crucial for country & its Citizens, inapitia mikataba ya madini, miswada complex inajadiliwa, hivi hapa Kiranga kweli unawatetea, are supporting them...!!!!? Mr wake up, c'mon man, un ndugu nini mzee hapo? na bado wanalipwa mamilioni na magari na maposho, Kiranga are ok? they are outdated, they are well behind time hawafai, unazunguka Kiranga, hawafai wanatufilisi hawa Zero Vihiyos Period