Elon Musk mwenye utajiri $243.7 sawa na Tsh. Trililioni 663 yaani sawa na bajeti ya nchi yetu ya miaka 15. Musk ndo tajiri namba moja Duniani.
Musk anayemiki Tekinolojia kubwa kwa sasa Duniani akimiliki Tesla, Space X n.k Jeff Bezos akimiliki Amazon akishika no 2 akimiliki utajiri wa $197 billion Sawa na Tirion 516 kisha tajiri namba 3 akiwa ni Larry Ellison. Oracle.
Na mtu masikini kabisa kuliko wote Duniani ni JEROME KERVIEL jamaa alikuwa tajiri balaa Jerome anashikiria rekodi ya mtu masikini Duniani kwa miaka mingi mpaka sasa Leo 2024 , Jerome Ndo mwanadamu mwenye bahati mbaya.
Kwa Afrika mtu tajiri ni Mnigeria Aliko Dangote mwenye utajiri wa $13.9 B sawa na tirion 37Tsh makadirio ya Tirion 40 utajiri wa Dangote unaweza kuiendesha serikali yetu kwa mwaka mmoja; akifatiwa na msauzi Bwana Johann Rupert & family mwenye $10.1 B sawa na tirion 26.
Kwa Afrika; Nchi ya Afrika kusini Ndo inaongoza kuwa na matajiri wengi ina mabilionea 5 , mamilionea 37,000 na CentiMilionea 102. na Nchi Tajiri ikiwa ni Afrika Kusini ikiwa na GPN ya 373 Billion ikifatiwa na Misiri huku Nchi ya Burundi na Somalia zikishika mkia Kwa utajiri. kwa Tanzania;
Mtu Tajiri Tanzania ni Mohamed Dewij (Mo) mwenye utajiri wa tirioni 4 akifatiwa na Rostam Aziz mwenye utajiri wa Tirioni 3. Mkoa tajiri ukiwa Dar Ukifatiwa na Mwanza na mkoa masikini ni kagera. Wilaya tajiri ikiwa na Ilala wilaya masikini ni longido Arusha ikifatiwa na Kibondo kigoma ; Zamani ilikuwa ni Bunda.
Na kabila tajiri likiwa ni CHAGA. Wachaga ndo kabila tajiri kwa pesa, Afya na nguvu yaani ...."Chaga tribe is known being Tanzania's Wealthiest, Richest na most powerfull Tribal Tribe"...wachaga wapo milioni 2 mpaka sasa.