Ni Waziri wakwanza aliyetumia akili nchi hii mifuko iliisha bila sisimizi kuumizwaEmu acheni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyo mwizi,
Unafikili kuna mtanzania asiyejua January ni incompetent kila eneo?
Imagine wewe ndo Waziri unafika unakuta repair za ujanja ujanja kila mara watu wanaandika charge tuu utakubaliMageuzi gani hayo we Pepe, tangu aingie umeme wa mgao umekuwa mara dufu , mageuzi gani hayo , au unafkria Kwa kutumia kalai
Acha uongo. Mumeshaona makamba watu wanamjua ndio kijana wa madeal mnageuza kibao. Kama vile mnavyohangaika kumchafua magufuli ndio mumeanza kumchafua Dr medard.Mageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.
Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.
Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.
Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.
Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni
We ni bwege na mpuuzi tu! Uwazi upi huo? Mbona mikataba ya gas anasainia gizani! Au hapo hakuna uwazi? Unajua mkataba wa LNG ww?ebu tuliza kikalio chako chini nchi imekamatwa na walafi. Na sasa utaanza kuisoma number shwainMageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.
Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.
Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.
Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.
Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni
We ni bwege na mpuuzi tu! Uwazi upi huo? Mbona mikataba ya gas anasainia gizani! Au hapo hakuna uwazi? Unajua mkataba wa LNG ww?ebu tuliza kikalio chako chini nchi imekamatwa na walafi. Na sasa utaanza kuisoma number shwain