Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
1. Jean belel Bokassa: (Central Africa:)
Alijipachikia mwenyewe Ufalme.
aliumia kiasi cha robo tatu ya bajeti ya mwaka Kuutukuza Ukoloni mamboleo

2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)

3. Papa Doc Duvalier: (Haiti)
mwaka 1963 aliamini vyama vya upinzani vimeshageuka kuwa kama mbwa weusi hivyo jamaa akaamuru Kuuliwa kwa mbwa wote weusi nchini Haiti!

4. Iddi amini Dada (Uganda)
Mwaka !977 alijipa mwenyewe Cheo Mweshimiwa mkuu sana , Rais wa Maisha, Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amini Dada. VC, DSO, MC, CBE, Congueror of the British Empire) Chunga sana watu wanaopenda kujitunukia Vyeo.. kila kukicha Dr..DR...

5. Gnassingbe Eyadema: (Togo)
Amejizungushia mwenyewe wanawake vimwana 1000 wanaolipwa kwa kumliwaza.

6.We Win.(Burma)
Jamaa alibadilisha fedha kutoka tarakimu za 10,20,30 hadi 15,35,45,75.. yaani kutoka namba shufwa na kuweka witiri zanye 5 at end, kwa sababu aliamini ndizo namba zenye bahati. Baada ya miaka miwili akabadili tena.

7. Kim Jong Il(North Korea)
Mzee wa mikogo, miaka na miaka anavaa jaketi moja tu lile lile kila siku.
anamiliki zaidi ya video 20,000

8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau)

9. Mobutu sese seko. (Zaire)
Alikataa mwanasiasa yeyote mwingine asitamkwe wala kuonekana kwenye TV
Alitumia Madege makubwa ya Concorde kama usafiri wa kwenda shopping tu.

10: Saparmura Niyazov.(Turkmenistan)
Alibadilisha majina ya miezi na kuita majina ya familia yake.
alipiga marufuku meno ya dhahabu
Piga marufuku lip stick
akajijengea kasri la barafu karibu na Ikulu ingawaje Turkumenistan ni jangwa.

11: Muamar Gaddafi: (Libya)
alijichagulia mabodyguard vimwana na bikira.
Haamini mtu yeyote hata damu yake

kama una orodha zaidi tumiminie..
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:

1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?

HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?
 
Yap tuelezeni udikteta wa Col.Gadaffi....msipende kusikiliza wazungu.

Kujifanya rais wa maisha na Libya kama nchi ya ukoo wake, kwa kumuandaa
Sef El Islamu kumurithi, lakini NTC wakamuwahi na mpango wake huo haramu.

RIP Dictator Gaddafi
 
Hata hapa kwetu Tanzania tunao madikteta! Ngoja niwafanyie tadhimini halafu nitarudi na majina yao!
 
wabongo mna matatizo makubwa sana ya kumsifia mtu ambaye sio kiongozi wenu kwa kujua mazuri yake...Hivi hata kama marekani ni tajiri ni haki ya watoto wa raisi kwenda Paris kila wiki kucheza kamari kwa kutumia pesa ya serikali?halafu Libya mwenyezi Mungu hakusema itawaliwe na ukoo wa Gaddafi kwani alikua kaanza kumlisisha mtoto wake...Leo hii Kikwete akisema anamuachia Ridhiwani madaraka hapa mtaanza kupiga fujo.
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?

kwenye redi..
kwani baba yake hakua mlibya?
 
Mkuu hayo yote sio hiari ya Mtawala kuwatendea wananchi wake kwa mujibu wa rasimali [resourece] zao ni wajibu wake yeye kama kiongozi wao.Msitwambie hayo aliowafanyia hayo kuwa yeye ni MUNGU acheni matusi.Watanzani tulio wengi atuoni kuwa Viongozi wana wajibu wa kuwatendea watu wao kana kuwa wanamtendea Mungu bali sisi tuwatendee wao na kuwaona kama Miungu yetu.
 
Mkuu hata mimi nakubaliana na wewe kuhusu Gadafi.Hata hapa kwetu bongo watu
walikuwa wanapiga kelele kuhusu Mwl.Nyerere kuwa kakaa sana,ooh mara ni mchumi
sana na maisha yanakuwa magumu,lakini leo hii hao hao wanamkumbuka na wanatamani
arudi.Hakuna jema kwetu binadamu.
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?
ghadafi aliuwa wapinzani wake wote.
alifadhili ugaidi duniani.
alifadhili vita alivyoamini kuwa anaepingana na huyo aliyemsapoti ni dini tofauti.
alichikiwa na watu wake(ndio maana walimwua au kushangilia kifo chake)
ALIMKUFURU MUNGU KUJIITA MFALME WA WAFALME.
ALIWAFANYA WATU WA NCHI YAKE KUWA WATUMWA(ALIWAJENGEA NYUMBA SARESARE)
ALIAMINI MAENDELEO YA MALI NI BORA KULIKO MAENDELEO YA WATU NA DEMOKRASIA.
ALIZOEA KUHONGA KWA PIPI BAADA YA KUFANYA UNYAMA(TANZANIA NA WAASI ALIOWAAHIDI DHAHABU NA MABILIONI YA DOLA BAADA YA KUKAMATWA)
ALIPINGANA NA MWENYEZI MUNGU KWA KUTAMKA WANAWAKE NI MAKINI KULIKO WANAUME(FUATILIA QURAN UONE INASEMAJE KUHUSU WANAWAKE)
ALITAKA KUITAWALA AFRIKA KIMABAVU(ALIPOMALIZA MUDA WAKE AU)
ALIZILAZIMISHA NCHI ZA KIARABU ZIMCHAGUE KUWA KIONGOZI WA UMOJA WAO ZIKAMSHTUKIA.
ALIVAA MAVAZI YA KIKE WAKATI VITABU VITAKATIFU VILIKATAZA.
ALIWALEA WANAE KIDIKTETA MPAKA ILIFIKIA KULETA MITAFARUKU DUNIANI.
ALIAMINI MAFUTA NI BORA KULIKO UTU(ALITAKA KUBADILISHANA MATEKA NA SERIKALI YA TANZANIA)
ALIWAFANANISHA WANACHI WAKE NA MENDE NA PANYA(KITABU KINASEMAJE?)
ALIUA RAIA WASIO NA HATIA LOKERBY.

KAMA ANGEKUWA MZURI KWA WATU WA ASINGEDHALILISHWA NAMNA HIYO BILA HATA DUNIA KUPIGA KELELE NA SEHEMU KUBWA YA WALIBYA KUSHANGILIA KWA FATAKI NA MAGARI BARABARANI.

SWALI TANZANIANI KIPI TUNACHOMPENDEA GHADAFI? NA KUANZIA LINI?
 
2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
[/B]alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)

kama una orodha zaidi tumiminie..

Kwanini hii mijitu inarogeka sana na dhahabu?

1. Bokassa: alinakshi chumba (na maliwato yake?) kwa dhahabu

2. Sadam (na wanae) walimiliki bunduki za dhahabu

3. Gadafi alikua na bastola na sofa la dhahabu

Mijitu nyang'au sana hii.
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?

Waliomuua gadafi walimfanyia hisani kumuua kifo cha risasi cha haraka kisicho na maumivu. Wangeiga wafaransa kwenye mapinduzi yao waliokata shingo la mfalme kwa SHOKA
 
@Mundali. Ebu usituaibishe kama sisis wote ni masikini wa akili. Hizo pesa zilizofanya mambo yote ni za Libya siyo za familia ya Gaddafi. Hiyo siyo hisani ni wajibu wa kiongozi/mtawala yeyote atakaye itawala Libya. Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi ilionao Libya na population ndogo ya wananchi wa Libya hayo aliyofanya Gaddafi siyo miujiza,ni miujiza kwa watu wenye akili za kimasikini kama sisi. Binafsi sijaona mabarabara wala majumba mazuri na ya kuvutia ktk Libya kama zilivyo nchi nyingine za Kiarabu zenye utajiri wa mafuta kama Kuwait,Falme za Kiarabu na Saudi Arabia.
 
Mkuu hayo yote sio hiari ya Mtawala kuwatendea wananchi wake kwa mujibu wa rasimali [resourece] zao ni wajibu wake yeye kama kiongozi wao.Msitwambie hayo aliowafanyia hayo kuwa yeye ni MUNGU acheni matusi.Watanzani tulio wengi atuoni kuwa Viongozi wana wajibu wa kuwatendea watu wao kana kuwa wanamtendea Mungu bali sisi tuwatendee wao na kuwaona kama Miungu yetu.

Mkuu tatizo watu wanatofautisha kati ya wajibu wa serekali na kuona kama fadhila. Kama uwezo upo serekali inapaswa kufanyia mema raia wake lakini lazima kuwe na uhuru wa kweli kwa hao raia.
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?

hapo kwenye red ni sawa na kusema kamwe hatomjengea babake nyumba kwa kuwa ni jambo lisilowezekana kusubiri walibya wote wapate makazi ndipo amjengee babake nyumba wakati kila siku wanazaliwa watoto walibya labda kama ingekuwa walibya wameacha kuzaa yaani hawazaliwi tena watoto na hivyo idadi yao kubaki constant au kupungua kwa vifo! Hiyo point #2 kwenye red aidha ni uzushi au ni utata mtupu...
 
CCM/TANU,chini ya mwamvuli wa chama,tangu 1961 mpaka kesho,kiongozi wake Benjamini Mkapa alifanya biashara akiwa ikulu,alifungua kampuni,ANBEN physical adress ilikuwa ikulu,alijiuzia yeye mwenyewe mgodi wa makaa ya mawe kiwira kwa bei ya kutupa. Mwingine JK huyu ndo hana kitu,alifanya suluhu na wezi wa EPA, aliwapa muda wala rushwa wajirekebishe. Hajui ni chanzo cga umaskini wa watanzania. Ana mkona kwenye mikataba mibovu kama wa IPTL, na hata richmond. Ana uswahiba na watu wanaotajwa kuwa ni mafisadi, kama Rostam Azizi, Edward Lowassah, nk.
 
Back
Top Bottom