Wajue ma rais 8 tajiri Africa

Wajue ma rais 8 tajiri Africa

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,877
Reaction score
5,700
Kuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika.

Iko ishu ya Marais kung’ang’ania madaraka kwenye nchi za Afrika, kingine ni hii ishu ya kujilimbikizia mali, japo wapo wanaokuwa nazo kabla ya kushika madaraka lakini wengine wanajichumia hapohapo wakiwa madarakani.
dos

Jose Eduardo Dos Santos ndiye Rais anayeongoza kwa utajiri Afrika. Ni Rais wa Angola, aliingia madarakani mwaka 1979, utajiri wake ni dola bilioni 20
MOROCCO-SARKOZY-MOHAMED-VI

Mohammed VI- Ni Mfalme wa Morocco ambaye amekaa madarakani kwa miaka 15, ana utajiri wa dola bilioni 2.
ekwa

Teodoro Obiang Nguema Mbasogo: Huyu ni Rais wa Equatorial Guinea, aliingia madarakani 1979.. ana una utajiri wa dola milioni 600. Nchi yake ni moja ya nchi ambazo ni maskini sana lakini huo ndio utajiri wake mwenyewe.
kenya

Uhuru Kenyatta ni Rais wa Kenya. Kaingia madarakani mwaka 2011, utajiri wake ni dola milioni 500. Mbali ya kuwa Rais ana miradi mingi pamoja na hisa kwenye Mabenki makubwa na mahoteli ya kifahari.
biya

Paul Biya ni Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982, ana utajiri wa dola milioni 200, unaambiwa ndiye rais anayetumia kiasi kikubwa cha pesa katika ziara zake kuliko marais wote duniani. Ziara yake kwa siku moja ni kama Euro 30,000 hivi.
king

King Mswat iii Ni mfalwe wa Swazland akiwa na utajiri wa dola milioni 100, anashika nafasi ya 15 katika familia za kifalme tajiri duniani, Unaambiwa wake zake 13 hutumia zaidi ya dola milioni sita kufanya manunuzi yao pekee, pia Serikali yake hutenga bajeti ya dola milioni 61 kila mwaka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

Idriss Derby Ni Raisi wa Chad tangu mwaka 1990 na ana utajiri wa zaidi ya dola milioni 50
mugabe

Robert Mugabe wa Zimbabwe, ana zaidi ya miaka 26 akitawala nchi hiyo. Utajiri wake ni dola milioni 10
 

Attachments

  • 1429835472065.jpg
    1429835472065.jpg
    54 KB · Views: 1,315
  • 1429835495735.jpg
    1429835495735.jpg
    64.3 KB · Views: 1,176
  • 1429835517321.jpg
    1429835517321.jpg
    29.4 KB · Views: 1,063
  • 1429835536024.jpg
    1429835536024.jpg
    26.3 KB · Views: 1,069
  • 1429835565586.jpg
    1429835565586.jpg
    22.5 KB · Views: 1,047
  • 1429835589384.jpg
    1429835589384.jpg
    46.1 KB · Views: 1,078
  • 1429835608002.jpg
    1429835608002.jpg
    20 KB · Views: 1,032
  • 1429835626789.jpg
    1429835626789.jpg
    15.9 KB · Views: 1,080
Bora hao inajulikana kwa maana kuna mingine inazaidi ya hizo ila inajificha kupitia wakwe,watoto,marafiki nk.
 
Kuwa Tajiri siyo tatizo Fanya kazi Kwa bidii utafanikiwa. Utajiri mwingine ni Bahati tu na Mara nyingine watu Sana confidence Kwa kiongozi matajiri kwani wengi hawayumbishwi hivyo hivyo.
 
Utajiri mchezo, watakua na senti Za kubadili mboga Kwa utajiri bado sana, na sio kama nchi maskini wao maskini wa kufikiri wanafikiria kuuza kila sehemu ...
 
Uhuru Kenyatta utajiri wao ni wa Familia na sio wake pekee.
 
Bora hao inajulikana kwa maana kuna mingine inazaidi ya hizo ila inajificha kupitia wakwe,watoto,marafiki nk.

Nchi kubwa zinafuatilia yote hayo, ukiona mtu hashutumiwi ujue hana tuhuma. Mataifa makubwa huwa yanalenga kukosoa viongozi wa nchi zinazoendelea kwa nguvu zote na ili wafanikiwe ni lazima wautafute ushahidi kwa nguvu zote, ukiona rais hatuhumiwi ujue hana doa.
 
Back
Top Bottom