Wajua nini kuhusu hili... ebu fuatilia

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,598
Habari waungwana ....
Nimefuatilia na kugundua kuwa historia walioiandika wazungu kuhusu Afrika ni uongo mtupu wa kujiongezea sifa ...
Uliwahi kufuatilia historia ya Watu hawa ....
1. Mkwawa.....
2. Songea ..
3. Mwanamalundi
4. Omukama Lutinwa

Nitaongelea wawili wa kwanza kwa sababu ndo nimeanza nao kufuatilia.

Kwanza Mkwawa hakuuawa na wala mwili wake / kichwa chake hakipapelekwa popote .. mwenye swali namkaribisha ....

Pili Mzee songea aliwaomba wakoloni wamuue (yeye mwenyewe) kisa ni kwamba wenzake 66 walikuwa wamenyongwa na kufa kabisa ... mwenye swali namkaribisha

Na pia mwenye kuelewa zaidi kuhusu watu wetu mashuhuri atuwekee hapa ili watoto wetu wasiendelee kukaririshwa mauongo ya wazungu kuhusu historia ya Afrika.

Nawasilisha ...
 
Wallah tena we umeota umekuwa Google, si bure! Yaani unaacha kuandika vitu vilivyokamilika makusudi ili mradi tukuulize!!!
 
si
Wallah tena we umeota umekuwa Google, si bure! Yaani unaacha kuandika vitu vilivyokamilika makusudi ili mradi tukuulize!!!
sija-google wala ... si vyema kuandika mengi wakati najua wabongo hawana tabia ya kusoma maandiko mengi ... wanapenda mdogo mdogo .. na isitoshe natarajia wachangiaji kutoa yale wanayoyajua hili tuwekane sawa kama ni ya ukweli au la!
Asante kwa kusoma ...
 
Back
Top Bottom