Wajua kuufyata weye? Bunge limenoga

Wajua kuufyata weye? Bunge limenoga

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,461
Reaction score
1,394
Nakuuliza wajua maana ya neno kuufyata?

Mheshimwa ajibu:- Mimi sijaufyata nimeshaufyatua nimezaa watoto watatu.. tafsiri ya kuufyata kule Pemba ni kwamba mtu ana busha analikunjia kwa nyuma.

Mwan JF wewe unajibuje?
 
hawa unguja wanatupa misamiati mipya sasa....
 
Vuai Nahodha aliwauliza Waandishi wa Habari NANI KAMUONA MUNGU, YUKOJE? ULIKUTANA NAYE WAPI
 
Back
Top Bottom