wajua kitochi wewe?

Hiyo inaitwa ni jasiri hasahau asili
Nikija huko nitamwambia
rafiki yangu (nikimtaja tu hapa ni mawe) mmoja mitaa ya kwenu
twende tukaone tena hayo makitu yako yakoje.

 
Kwani unataka kusema nini?
Naona unapayuka kama umepaliwa hapa.
kwa hiyo Mamndenyi unataka kusema: Mbege inaleta taifodi: wanaokunywa mbege wana taifodi: Wachaga wana kunywa mbege: Wachaga wana taifodi??:noidea:
 
mbege ya kibosho ndo nouma bhana vitochi 2 chaliii
 
Hiyo inaitwa ni jasiri hasahau asili
Nikija huko nitamwambia
rafiki yangu (nikimtaja tu hapa ni mawe) mmoja mitaa ya kwenu
twende tukaone tena hayo makitu yako yakoje.

Kweli kabisa Mamndenyi mwaka unakaribia kukatika twende tukayaona mambo ya huko bana na kichotz kiwatengu sijamsikia kabisa aise sijui kajificha wapi
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa hivyo asilimia sitini ya watu wa moshi uchagani wangekuwa na typhord
 
Last edited by a moderator:
Aisee hii mbege kitochi tumekunywa sana nikiwa nasoma Kilimanjaro miaka hiyo. Nilijifunzia kunywa mbege au pombe kwa wachagga!! Niliipenda sana, basi wikiendi tukitoka out tunapanda milimani huko kupata kidogo. Ila wachaga ni wakarimu sana, walikuwa wakituona na uniform zetu wanatuficha mahali tunapata na ukirudi shuleni murwa kichwa kiko fiti kabisa ukikamata Physics, Chemistry, Maths, etc inashuka kama kazi!!!! Du ila huenda hii mbege inaongeza akili maana nilikuwa nikiipata kama kesho nina mtihani ni lazima nitoke na msonge ++++. Wachaga wa zamani walikuwa na akili sana, ninahisi katika mbege kuna kimelea cha kukuza akili. Aise wachaga msiache ile mbege hata kidogo. I missed it for years now.
 
 
Alichemka tu
pengine alitafuna vya arusha;

Home yenyewe ya bi dada
halafu anatia mapozi; shauri zake huko huko.

Tuko poa sana mwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…