wajua kitochi wewe?

Ukishakunywa vitochi 4 mawazo yako yanaelekea kwenye kuwaza pesa na utajiri. Utawaza hata kumuua mkeo/mumeo ili tu upate urithi fasta na kumiliki mali peke yako.....unabisha nini sasa loh chunguza vilikozaliwa vitochi
 
mhh hapa napingana na wewe na sio kweli wapo wanaokunywa kitochiz na hawawazi hayo na waoafanya hayo wala hawako huko kunakozaliwa vitochz
 
Daaah,
Hiyo situmii kabisa
wanasema eti inaleta taifodi.
inayoleta typhoid Mamndenyi ni hii ya kutengeneza huku mjini
ile ya kule kwenyewe maji yanachotwa kwenye chemichemi hayana hata uchafu wa kuonekana kwa macho na ikishapikwa ule ulezi wa moto unawekwa kwenye ndizi zile zilizokamuliwa typhoid itatoka wapi
Muulize kiwatengu anajua vyema
 
Last edited by a moderator:
Kweli umenikumbusha maji ya kwetu hayana taifod
ndo maana mpaka leo tunakunywa maji ya mfereji
bila hata kuumwa matumbo.

But sijui kama naweza kutumia tena hivi
vitu naona kama vimenishinda kabisa sasa.

kwa hiyo Mamndenyi unataka kusema: Mbege inaleta taifodi: wanaokunywa mbege wana taifodi: Wachaga wana kunywa mbege: Wachaga wana taifodi??:noidea:

Daaah,
Hiyo situmii kabisa
wanasema eti inaleta taifodi.
 
Last edited by a moderator:
Kweli umenikumbusha maji ya kwetu hayana taifod
ndo maana mpaka leo tunakunywa maji ya mfereji
bila hata kuumwa matumbo.

But sijui kama naweza kutumia tena hivi
vitu naona kama vimenishinda kabisa sasa.
Mamndenyi vilishanishinda muda mrefu sana kwa kweli hata mimi
hata baadhi ya wazee wenye ambao wana uwezo kidogo wameingia kwenye unywaji wa bia na kuachana na mbege
Ila bado kuna watu wanaipenda bana kuna sehem hapa karibu na ofisi huwa inatengenezwa kwa order maalum na jumamosi na jumapili utakutana na watu na vogue zao na vx wamekuja kunywa wameweka magari yao nje ya nyumba ya huyo mama mpikaji wanakunywa
na pale babylon hapa mjini pia kuna siku maalumu wanauza mbege bana yaani watu wanainywa kwa interest tuu ila wanaipenda mbaya
 
Last edited by a moderator:
Heeee
Kwani unataka kusema yule ndugu yako
alikuwa amepata hiyo kitu?
Mbona ilikuwa asubuhi sana.

.......... Mambo vipi bi dada?

Ukishakunywa vitochi 4 mawazo yako yanaelekea kwenye kuwaza pesa na utajiri. Utawaza hata kumuua mkeo/mumeo ili tu upate urithi fasta na kumiliki mali peke yako.....unabisha nini sasa loh chunguza vilikozaliwa vitochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…