Wajinga wenzako ndiyo watakushangaa

Ni kweli wajinga wenzie ndo wanaomshangaa.....pumbafu kabisa kipi cha ajabu
 
Hapo anajipigia debe...
Bila shaka anaiota ile wizara ya Mh.Jeep
 
Huyo si muheshimiwa au nachanganya mambo hapa. Ni kama vile huyojaa ni mbunge wa ccm sasa anajidani kubana matumizi kupanda bajaj. Au mwenye uzi alirekebishe.
 
nimeshindwa kuoaelewa hapo ni wapi wakuu
 
kijijini kwenu ushatembea kwa miguu sana, kumbuka hilo, nini bajaj?

watakushangaa ukijishangaa
 
aisee hata yule jamaa alipanda daladala kwenda kunywa uji lishe manzese lkn wananchi wakaelewa janja yake.

kwako ni wapi? dsm kigambonino? unawakilisha wananchi wako kigamboni?
 
By RRONDO

Aisee nina kichwa kigumu sijaelewa kitu.....
Kumbe nawe hujaelewa ka mimi
huyo jamaa huoni kichwa chake kinafanana na yule Dr aliyegawana na Bashe Jimbo la Nzega? ana picha ingine kapanda Bodaboda huko Arusha
sijui kwanini katumia ID ya mwanamke Rose wakati ana ya kwake
labda Promo kwa member tumuombee Wizara ya Afya
 
daah, kazi kweli.. mkuu una shida kidogo inavonekana, afu ni mtu mzima kidogo ila hujielewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…