Wajinga ndio waliwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajinga ndio waliwao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masharubu, Feb 14, 2011.

 1. masharubu

  masharubu Senior Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu zanguni waswahili wanamsemo ya kwamba wajinga ndio waliwao, sasa wanasiasa pamoja na Tanesco katika hili la mgao wa kiza wanakuja na jipya:
  Kwanza walianza
  1. Transforma ya Kipawa imeungua hivo kutakua na mgao wa umeme wa nchi nzima, na kuna bosi alikaidi maelekezezo ya mafundi, jee alichukuliwa hatua gani?

  2. Wakaja kusema mitambo ya gesi inahitilafu hivyo mgao utaongezeka, hivi hiyo hitilafu haijaongezeka?

  3. Wakasema maji yamekauka mtera, jee hale na nyumba ya Mungu mbona hawajasema tukajua kama pia maji hamna

  4. Sasa mvua zinanyesha na kuna kila dalili bwawa litajaa, wanasema kuna matope. Tumechookaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na siasa katika utendaji kazi.

  Nimepita Hale jana maji yamejaa mengi, sasa huo mgao wa umeme Tanga ni wa nini? Au mbona kamati ya January haijaenda na Mabwawa mengine kama kihansi, Hale, nyumba ya Mungu?

  Uvumilivu wa maumivu mpaka lini?
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :a s 20:
   
Loading...