Wajibu wa Afisa Tawala katika taasisi ni upi?

Wajibu wa Afisa Tawala katika taasisi ni upi?

Habari, naomben kujua wajibu au kazi za afisa katika taasisi.
Afisa tawala (Adminstrative officer), majukumu yao yanaweza kutofautiana kulingana na taasisi, lakini kwa kawaida hawa wana majukumu ya kuratibu, na kusimamia uendeshaji wa shughuli kwenye taasisi husika.
Mfano, kushughulikia masuala ya accomodations kama vile ofisi ikiwa ni pamoja na mpangilio, usafi, mwonekano nk. Afisa tawala uratibu na kusimamia mikutano ama vikao, kusimamia vifaa vya ofisi, kufanya booking ya hotels, kumbi nk kulingana na uhitaji, kupangilia masuala ya safari. Kuratibu utekelezaji wa majukumu chini ya idara nyingine. Adminstrative officer anakuwa kama anaziunganisha idara mbalimbali kwenye taasisi moja.
 
Back
Top Bottom