Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Binafsi huwa nawachukia sana wanaovaa nguo za kubana wakati wa ujauzito, kwa kweli huu ni ushamba na ulimbukeni.
Hahahhahhahahaaaaa!!!! hapo kwenye red, huyo mtoto huo uzito imekuwa nyama?ndio maana watt wa cku hz wanazaliwa wana uzto wa kg 1 kwa sababu ya kubanwa hvyo vjnguo vyao.
Hahahhahhahahaaaaa!!!! hapo kwenye red, huyo mtoto huo uzito imekuwa nyama?
ushamba wako tu
vimini solo ni vizuri kwa afya ya mama mjamzito, kuhusu suruali au skinjeans, kuna za wajawazito ambazo zinakuwa na nafasi ya tumbo. Sidhani kama ukiwa mjaamzito basi uvae magunia au mifuko.
Mwisho wa siku ni maisha binafsi ya mtu au mtu na mumewe ambao wanapaswa kuchagua, wengine hatuna uhalali wa kuwapangia watu waishi vipi.
Unaweza tutajia source? au una mimba?Kitaalamu zaidi. Mwanamke mjamzito anapofiskisha week ya 20 joto la huko nanilii upanda sana. Sasa anatakiwa asiwe anavaa chupi kabisa ama avae bukta tu kuruhusu nanilii kujinafasi na kupumua vizuri
Wanaume mashaidi ni kwa jinsi gani hali ya nanilii ilivyo murua katika mambo yetu yale.
Binafsi napenda mwanamke mjamzito ambaye anavaa kimini. Huwa asilimia kubwa wanapendeza. Na hasa awe na usafiri kama wa bukoba. Wa kikilimanjaro wao wanapendeza na mapajama.
mhhh charminglady! mambo ni aje?
nikwambie kitu, tumbo likishakuwa limeenda mbele zaidi, nguo utakayovaa kama ilikuwa ipo gotini basi itazidi kuwa fupi!!!
suruali, skin jeans zipo spesheli kwa ajili ya martenity!!!! mavazi mengine jamani hayapendezi licha ya kwamba yanamuweka mama katika hali salama. mfano mie nilipokuwa natumbo madera yalikuwa hayanipendezi kabisaaaaa........yani kabisaaaaa!!! so nikawa na vijinguo vyangu ambavyo ni comfortable lakini angalau napendeza!!!
halafu when you are pregnant hata uvae nguo gani hupendezi!
hapo mjamzito inabidi ahangaikie kichwa yani mitindo bora ya nywele. hali kadhalika, accessories kama hereni, mikufu ya hsingoni na mikononi, urembo wa kucha na viatu viwe bomba, na mikoba!!! angalau hii itawafanya watizamani waconcetrate kuangalia hivyo vingine na wala si nguo imekukaaje na mtumbo wako!!!
sosoliso ebu nipe mimba jamani!!!
take it simple lady, kuelimishana kunahitaji kupinga ili kueleweshwaDuh ushamba ni mzigo eeeeh..... Mamaa weeeeee!!!!!!!!
source maajabu ya mimba just google.Unaweza tutajia source? au una mimba?
Sasa suppose huoni sawa, apart from kuandika na kuexpress your views what else can you do??????Kaunga, kwa sehemu nakubaliana na wewe ila hapo nilipobold, jamani hata kama mavazi yanaenda kinyume na tamaduni zetu tusiseme kisa tu ni mke na mume ndiyo waliokubaliana? Kwahiyo hata wakitembea nusu uchi tuone sawa tu kwa sababu wenza wao wamekubali?!
Mhhhhh!!!!
Mmmmmh kazi kweli kweli. Sio siri hata mimi nilikua mshamba lkn kwa kusoma michango hii kidogo kwa mbali naanza kuelewa japokua nafsi yangu bado inakataa. Hasa ukizingatia na mazoea tuliyokua nayo kabla ya kipindi kama hiki cha kisasa hayakuwepo haya tuyaonayo. Kweli inabidi kwenda na wakati yaani uvae kama kim kadashian vile ili tu upendeze wow.