Wajasiriamali wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajasiriamali wanahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by amigooo, Aug 10, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo
  Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano.
  Aina ya Business: Multilevel Business
  Sifa:
  Mtu yeyote mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 mwenye kupenda yafuatayo:
  1.Kipato cha ziada
  2.Uhuru wa kifedha
  3.Kuwa na biashara yako mwenyewe
  4.Kujiendeleza
  5.Kusaidia wengine
  6.Kukutana na watu wapya
  7.Kutopata shida baada ya kustaafu/kushindwa kufanya kazi
  8.Likizo
  Elimu: Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea
  NB:Usikubali kukaa na kulalamika kuwa maisha hayaendi bali fursa zipo zitumie kwa wakati
  Mwisho: 3rd September 2012
  Kwa mawasilaino zaidi tuandikie healthwealthfirst@gmail.com Cell:0713889162
   
Loading...