Wajasiriamali jihadharini na utapeli huu

Wajasiriamali jihadharini na utapeli huu

Mtoa mada hebu unifafanulie vizuri.Daktari kanishauri nisile nyama nyekundu.Nikaamua nile sungura wa kuchoma sh 65,000.Huo utapeli uko wapi hapo? Au ulikuwa na maana ya 'dhuluma' ya bei wewe ukaita utapeli?
Unakulaje sungura wewe yule si paka kabisa yule...
 
Utapeli mwingine huu.
Namaingo mlituaminisha biashara ya kware inalipa na tiba, kumbe uwongo mtupu.
Sungura na wenyewe ni muendelezo wa utapeli wenu.
Ni Wapi sungura wa kuchoma wanauzwa DSM?
Namaingo mlisababisha kuku wa Kuchi wauzwe laki Tano, wanunuzi hawakujitokeza, watu wakapata hasara
Bujibuji tafadh, hebu niweke vzr juu ya hii NAMAINGO. Once nliickia kupitia rafik yng akinishawishi niende pata Semina yao, aliwasifia kwa kusema wanatoa elimu ya Ujasiliamali, wanakukopesha mtaji na kukutafutia soko la bidhaa zako huku ukirejesha mkopo taaatibu....!. Ss inaonekana uko nao vzr, plz.
 
sungura huyu huyu kwa utamu gani mpaka nikamnunue kwa hyo bei,,,hyo pesa ukienda pale usangu-mbeya unapata beberu mkubwa sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
MATOMONDO Hapa unapata Mbuzi wawili.
 
Bujibuji tafadh, hebu niweke vzr juu ya hii NAMAINGO. Once nliickia kupitia rafik yng akinishawishi niende pata Semina yao, aliwasifia kwa kusema wanatoa elimu ya Ujasiliamali, wanakukopesha mtaji na kukutafutia soko la bidhaa zako huku ukirejesha mkopo taaatibu....!. Ss inaonekana uko nao vzr, plz.
Utalipia seminar, materials, ufundi wa mabanda, mbegu, madawa etc. Wanakusadikisha kuwa sungura utauza 60,000/- Wakati sokoni sungura ni 20,000/-.
 
Hata zinaa Biblia imekataza, lakini ndio dhambi inayowaangusha watumishi wengi zaidi.

Kutapeli/ kulaghai ni kuaminisha kitu kipo wakati haipo.
Sungura bei yake halisi ni 20,000/- sio 65,000/- kama namaingo wanavyodai.
Mwisho wa siku total investmentbya mfugaji inakuwa kubwa kuliko revenue, mfugaji anapata hasara.
Hapa mfugaji anakuwa ametapeliwa.
kuchi.jpg
Tbcc wanauza sungura mmoja ni 75000 na unatakiwa kununua kwa pair anadai wanajenga kiwanda cha kusindika nyama ya sungura maeneo ya kerege akasema kiwanda kingeanza kazi October ila sina hakika kama kimeshaanza.mimi napitaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kadri maisha yanavyo wapiga wananchi ndivyo utapeli unaongezeka. Juzi kati nimetua kitaa vijana wako bize wanatafuta paka mweupe asiye na doa. Kuna tajiri anawanunua paka mmoja kwa mil 10. Vijana hawatulii kitaa
Kumbe ndo maana paka wangu kapotea katika mazingira ya kutatanisha,kumbe alikuwa ni dili.ningejua ningemuuza mwenyewe
 
Back
Top Bottom