Wajasiriamali jihadharini na utapeli huu

Kama walivo kuku choma kila mahali unapata, ndivo na mfugaji solo lake lilivyo, popote atauza' Hawa sungura choma sijawai on a mahali wanauzwa"
TZS.65'000/- kwa mboga ya kilo 1-1½
utamuuzia nani?
Ingekuwa zama zile ungeuza serikalini.
Kwasasa hivi ni sawa na Tanzania kuipiga kijeshi USA.
 
Kadri maisha yanavyo wapiga wananchi ndivyo utapeli unaongezeka. Juzi kati nimetua kitaa vijana wako bize wanatafuta paka mweupe asiye na doa. Kuna tajiri anawanunua paka mmoja kwa mil 10. Vijana hawatulii kitaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom