Wajasiria-TUMBO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajasiria-TUMBO

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Oct 31, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Hawa Jamaa walianza na mama Ntilie, baada ya hapo wakaenda kwenye fruits, mchana saaaafiii kwao.....
  city militias.jpg
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  katika kampeni za kuwakwamua watanzania kutoka kwenye lindi la umaskini
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wakitoka hapo utawakuta chimbo wanagawana.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  changamoto ni kwamba hawatayamaliza
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  wana laana hao
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  huruma sana, just imagine mtu kama huyu amehangaika vipi na muda gani kuupata huo mtaji na kwa sekunde tu unatoweka, si vyema kuunga mkono taratibu zisizofuata taratibu lakini walau kuwa na jicho la kuona tu kwamba huo ni mbadala wa ajira kutokana na ukosefu wa ajira nchini, ukifika nchi nyingi tu duniani wanapewa utaratibu maalum mfano Zimbabwe wanapewa sare na mifuko maalum ya kuwekea taka na mwananchi huruhusiwi kula hovyo baada ya kununua ............
   
 7. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono wakamatwe kwa ukweli na kusiwepo mambo ya rushwa. Mambo ya uhaba wa ajira isiwe ndio sababu ya kuvuruga taratibu. Nenda Kariakoo wameziba barabara na ni jeuri hawapishi mtu wala gari.
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  staili ya kukamatwa na majaliwa yao ndio changamoto, ama badu ukiwa na ajira ni rahisi kusema lolote, kwani aliyeshiba hamjui mwenye njaa, nyuma ya pazia ni kwamba huko wanakopelekwa ni mzigo mwingine wa kiuchumi oh no, ni kuongeza tenda za chakula na 10%? kwa wachache................kama mbwai mbwai
   
 9. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani hadi huruma
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wakitoka hapo wanakwenda kwenye mama muuza gongo....wanakamata gongo, wanaingia chimbo wanakandamiza...!!!

  Maisha si ndo hayaaa???:majani7:
   
 11. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sometime laana za kujitakia hizo
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  hao wana make sana
   
Loading...