Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Wahenga walisema kuuliza si ujinga.
Japan ni nchi inayofanya export ya magari mengi yaliyotumika kwenda nchi nyingi za Africa. Ingawa wajapan wapo milioni 128, wanawezaje kutumia magari na kuachia nchi za Africa kiasi kwamba hapajawahi kutokea upungufu wa magari used ikilinganishwa na population yao?.