Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,507
Kajambwa huyo...
Last edited by a moderator:
Tatizo la Bongo halitaishia hadi tukate mzizi wa fitina. hata hao wajapani wametoka mbali. Hiyo nidhamu ya kazi waliyonayo ni matokeo ya kazi kubwa ya kimfumo waliyofanya. Ukichukua wajapan laki 4 ukawaweka popote pale Tanzania, hesabu vizazi kama vinne hivi kuanzia hapo na wao wanakuwa mafisadi, wavivu na wasiopenda kazi.Unajua mimi nimekua nikiliwaza hilo tokea 2004! Nilipata rafiki wa kike mjapan nikaenda nae Japan.
Nikafikiria (hata baada ya kuachana nae, msije mkafikiri nilitumia nanihii kufikiria) hivi tukiwapa eneo moja hasa ukanda wa Pwani hapa bongo kama wa Japan laki 4 hivi na kuwapa uraia kama tulivofanya wa Nyarwanda na Wa Burundi juzi si itakua move nzuri sana.
Tena na tunawaweka wachahce sekta ya elimu, uchumi na biashara. Hawa jamaa sio wabaguzi na wana akili sanaaaa!
So Tanzania tunakua na mixture wa Japan na Wa Afrika kama ilvyo South mix ya Kaburu na MwAfrika ila sisi bila ubaguzi mkubwa vile.
Mnaonaje? Mbona wahindi na waarabu tunao wengi why not wa Japan?
Mkiwapa wajapani sehemu ya nchi baada ya miaka mia wajapani watakua wengi kuliko watanzania.
Mtatokomezwa kama whindi wekundu America.
Hahahahahaaaaaaaa, nina wasi wasi na wewe kama kweli ni mwanamke! Nahisi wewe ni dume!
Duh umemshtukia vizuri sanaaa,
Dume huwa halijifichi
Unajua mimi nimekua nikiliwaza hilo tokea 2004! Nilipata rafiki wa kike mjapan nikaenda nae Japan.
Nikafikiria (hata baada ya kuachana nae, msije mkafikiri nilitumia nanihii kufikiria) hivi tukiwapa eneo moja hasa ukanda wa Pwani hapa bongo kama wa Japan laki 4 hivi na kuwapa uraia kama tulivofanya wa Nyarwanda na Wa Burundi juzi si itakua move nzuri sana.
Tena na tunawaweka wachahce sekta ya elimu, uchumi na biashara. Hawa jamaa sio wabaguzi na wana akili sanaaaa!
So Tanzania tunakua na mixture wa Japan na Wa Afrika kama ilvyo South mix ya Kaburu na MwAfrika ila sisi bila ubaguzi mkubwa vile.
Mnaonaje? Mbona wahindi na waarabu tunao wengi why not wa Japan?
hizo ni ndoto za alinacha,maana yake sisi waafrika hatujikubali tunajiona hatuwezi,tunalaana,hatuna akili, tujikubali tu
He dois decada afrente? Sio leo hiyo, muda huo nitakua nishapita dunia.Habari za Kitafiti zinasema kwamba Nchi ya Ujapani itateketezwa kabisa na Volkano ndani ya miaka 200 ijayo, kama ijulikanavyo nchi hiyo kijiografia ipo kwenye Eneo Hatari sana na inaweza kuteketea muda wowote ule, na Wajapani wanalijua hilo, sasa SWALI ni kwamba hawa Watu zaidi ya milioni 120 watenda Wapi?
Kwa haraka haraka nikiangalia huko kwao Asia hakuna nchi ambayo wanaweza kuvamia na kuweka makazi, Marekani ya Kusini nayo haiwezekani wote kule wameshajipanga, vipi kwetu Afrika? Watu ambao tunategema misaada mpaka chupi za mitumba?
Je hatutaamishwa na kusukumizwa kwenye Mapori huko kupisha Wajapani kama Wazungu walivyofanya AK? je, tuna nguvu za kujitetea dhidi ya Wajapani kama sasa wakati ukifika na wakiamua kuhama na kutafuta makazi mengine? tambua kwamba Wajapani walivamia tu hicho Kisiwa wakitokea Uchina, Korea na kwingineko, sasa kama kikinuka huko kwenye hicho kisiwa wataenda wapi?
Niko serious mwenzio. hehehe!Ha ha haaa nimecheka sana
Habari za Kitafiti zinasema kwamba Nchi ya Ujapani itateketezwa kabisa na Volkano ndani ya miaka 200 ijayo, kama ijulikanavyo nchi hiyo kijiografia ipo kwenye Eneo Hatari sana na inaweza kuteketea muda wowote ule, na Wajapani wanalijua hilo, sasa SWALI ni kwamba hawa Watu zaidi ya milioni 120 watenda Wapi?
Kwa haraka haraka nikiangalia huko kwao Asia hakuna nchi ambayo wanaweza kuvamia na kuweka makazi, Marekani ya Kusini nayo haiwezekani wote kule wameshajipanga, vipi kwetu Afrika? Watu ambao tunategema misaada mpaka chupi za mitumba?
Je hatutaamishwa na kusukumizwa kwenye Mapori huko kupisha Wajapani kama Wazungu walivyofanya AK? je, tuna nguvu za kujitetea dhidi ya Wajapani kama sasa wakati ukifika na wakiamua kuhama na kutafuta makazi mengine? tambua kwamba Wajapani walivamia tu hicho Kisiwa wakitokea Uchina, Korea na kwingineko, sasa kama kikinuka huko kwenye hicho kisiwa wataenda wapi?
wapeni kalahari na sahara