Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

SISESISE

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Ni baada ya kuona linaenda mlama na kpoteza mwerekeo na matumain ya kufka,kna hatar ya dereva kujikta hana abilia
 
Mkuu mimi nilikuwa abiria wa kwanza kushuka. Hata dreva awe shupavu na stadi namna gani hawezi kuendesha gari bovu kabisa na chakavu ambalo hata mmiliki anaogopa kujitambulisha na kumsukumia dreva ajitambulishe kama mali yake ili watu waamini litafika salama.
 
Na tairi ni kipara wanaogopa zisipasuke wameamua kushuka. Safi sana waje ukawa kwenye treni la umeme
 
Lowassa kapa tren ya umeme hapo wapo kibao wanaingia
 
Ni baada ya kuona linaenda mlama na kpoteza mwerekeo na matumain ya kufka,kna hatar ya dereva kujikta hana abilia
Endelea kuishi kula na kunya kwa kuitegemea Ukawa maana huna ujanja wao ndo wamekuweka mjini ukitokea kijijini kwako kule
 
Mkuu mimi nilikuwa abiria wa kwanza kushuka. Hata dreva awe shupavu na stadi namna gani hawezi kuendesha gari bovu kabisa na chakavu ambalo hata mmiliki anaogopa kujitambulisha na kumsukumia dreva ajitambulishe kama mali yake ili watu waamini litafika salama.
Dreva wenu Lowassa kimeo hawezi kusimama hata nusu saa, sasa hapo lipi ni gari bovu? We mwehu kweli
 
Ni baada ya kuona linaenda mlama na kpoteza mwerekeo na matumain ya kufka,kna hatar ya dereva kujikta hana abilia
Uko lindo la mchana wewe endelea kupiga dili, mwaka huu mtaendelea kuwa wasindikizaji tu
 
Ni kweli kabisa hotuba zao hazieleweki kabisa tunashindwa kuielewa hiyo falsafa ya mabadiliko. Ni kweli watu wameichoka CCM lakin huyo mbadala anayekuja ndo balaa kabisa, tulitegemea kipindi hiki cha kampeni tuwaelewe na hiyo falsafa yao ya mabadiliko, sana sana waliobaki saizi ni wale wenye mahaba tu ya chama bila kujali ni nini kinazungumziwa. Angalia mikutano mingi ya UKAWA ni kurusha tu picha kuonyesha watu wamejaaa lakini hutasikia kilichojadiliwa.
 
Back
Top Bottom