Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

Aaaaa! Nililipanda mara moja usumbufu wake usipime, kila baada ya kilomita moja trafiki analipiga mkono. Konda wake sasa ndo usiseme alikuwa kachafuka oil na anahangaika kuweka kigingi likisimamishwa
 
Baada ya kitengo cha masaki kulaumiwa kuwa hamfanyi kazi yenu vizuri ninaona mmeamka na kuanza kujaza ----- wenu humu
 
CCM imechokwa na watanzania, lakini tunakosa pa kwenda maana hawa ukawa ni hatari sana bora CCM, kwanza ni wote wapiga dili na wakabila.
 
Mkuu mim ni ccm tupo na wadau kama kumi na moja tumeamua kura zetu ni Lowasa tuu
 
mabadiliko yanayosewa ccm ni sawa na nyoka kujivua gamba lakini anabaki ni nyoka tu.
 
Back
Top Bottom