lil pablo
Senior Member
- Jan 6, 2018
- 108
- 51
Jumamosi nakuja Mwanza nakuja kutafuta fremu nataka kufungua goli la accessories maeneo ya Mwanza kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee
Naomba ushauri kwa wajanja/wanaoijua vizuri
Kati ya makoroboi, CBE, na kule ukiwa unatoka Capri Point wapi panafaa na kama unajua bei zina range ngapi kwenye frame utakua umenisaidia.
Natanguliza shukrani