July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Halafu anaonekana automatic update alikuwa ameyaachia tuu bila kuyafungaOfer wa janja night hua inaisha saa 06:59 baada ya apo wanaanza kula mpunga wao kama kawa hapo jipe pole kwa kuchelewa kuamka
Hawa jamaa ndio zao hata ukiunga bundle zingine hivyo hivyo, bundle likiisha hawakustui wao wanakula mpunga mpaka wamalize salio ndo unatumiwa sms bundle limeisha ukijaribu kucheck salio unakuta 00
yap Tigo ukikaribia asilimia 80 kabla ya kumaliza wanakustua au wakati mwingine bundle likiisha net inakata but salio lako linakuwa halijaguswa na ukiconnect tena bila kucheck kwanza ndiyo mpunga unakwenda kwa speed kaliWajanja Knight Offer sio kama bundle zingine, yenyewe inakua activated for 24hrs ndipo utapata ujumbe kua subscription yako imekwisha lakini ki uhalisia matumizi yanaisha saa 6:59am so hapo ni suala la mtumiaji mwenyewe kujua, either Vodacom waanze kutuma ujumbe kua muda wa matumizi ume kwisha.
tukirudi katika suala ls bundle za kawaida hapo ndio wanakatisha tamaa yaani hata uwe na pesa kiasi gani ukiwa CONNECTED tu hawatoi taarifa mpaka salio lisome Tsh.0. Nasilia(sijathibitisha) mtandao wa TiGo unapo karibia kumaliza MB zako wanatoa taarifa kua umekaribia kumaliza bundle yako huku ndio kunako itwa kujali wateja
Ofer wa janja night hua inaisha saa 06:59 baada ya apo wanaanza kula mpunga wao kama kawa hapo jipe pole kwa kuchelewa kuamka