wajanja night has been ended!!

mshkaji ushakuwa mkubwa sasa. punguza vurugu.
unaleta makelele yale yale uloleta kwenye megaboksi hadi ikafungwa.
krapka davinooooooooooooooo
 
du RIP wajanja siwezi sahau hii kitu imenitoa mbali
Mara ya kwanza Windows 8 imeingia...niliishusha kwa 200 na kwa a single dei na ilikuwa 4.7GB
Lkn leo hii ni kikwazo kwangu sababu UNLIMITED yangu ilipokuwa ikifika muda wa mabundi nazima computer na lala sababu huku kwetu mabundi wengi

Miss you ma favourite service
 

nilijua tu !!!
Wenzio wanalio wewe unacheza ngoma
 
kwa kweli tumeumbuka yaani jana nilikuwa naisoma ile sms mara mbilimbili...but mtu mmoja akifa mwingine anazaliwa.
 
Nyie ndiyo wanga wenyewe.
 
Aisee sasa ntafanyaje mimi latest movies na games ntazipata vipi mlala hoi kama mimi bando la 20000 ..siwezi

basi tena ntabidi kununua line 9 za airtel ...

Sawa na kusitisha vidonge vya ARV! Haki ya nani..!
 
mi sijui kama imesitishwa maana jana tu nimekamua, ila kwangu huaga siezi kamua zaidi ya 2.4 G per night sijui kwanini. hata hivo huduma ya Voda bado nimbovu sana na net inakata kama aina akili nzuri..ni basi tu shida inatufanya tufanye mambo ya ajabu na kushangilia hata ukipata 200 kbps.
 
Hodi hodi *149*02#....wengne tuko very loyal kwa hawa jamaa
 
Si amini kabisa kweli voda mmetuacha kwenye hali ngumu jameni tafadhali.tuokoeni tena
 
NIMEPOKEA HII SMS TOKA KWA WADAU MBALIMBALI
Nimesikitishwa sana na kampuni ya vodocom kwani wameondoa rasmi huduma yao ya "wajanja night ofa" ya 200 tu. Sasa sijui sisi maskini tukimbilie wap? Tayari ombwe la UPDATES za nguvu linaonekana kuchukua nafasi yake kwa wana intanet wote, hali ya kufubaha kitaarifa litatukumba wengi sana, Kila muhusika ajitahidi kutoa maoni yake kupitia huduma kwa wateja kuwajuza kuwa hicho kitendo si kizuri, mimi tayari.Tuwachane ktk page yao ya fb na twitter. forward kwa wengine
 

Kaka hatujaingia mkataba nao ni offer tu so kuna vigezo na masharti ya kuzingatiwa katika mambo hayo hivyo hakuna wa kuwatishia nyau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…