oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia mbali....doh!
Ipo Wakuuuu. Nimeitumia Usiku wa Leo. Sema wameihamishia kwenye Choice namba Sita badala ya iliyokuwa namba 5 mwanzoni. Voda SIO Wababaishaji kaka. VODA NDIO MPANGO MZIMA. Ila sijui kwanini hawataki kutuletea 4G.
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia

Hawa wanaopenda kulalamika ndiyo wametuponza yaani jamaa walikuwa wakilalama wanalipia cha 10, na 30, wanapewa siyo zaidi ya 1GB then speed inabanwa wakati sie wa kubundi full burudani kucha kuchele!!!
nimejaribu sasa hivi kuunga na majibu ni haya, "ndugu mteja ofa hii imesitishwa endelea kufurahia dakika 20 kupiga simu mitandao yote......"
duh kasheshe,muda wa kulala mapema umewadia
Kuna mtu kanyea kambi maana sibure Mabundi 9t kupigwa kufuri gafla.
Hapo sasa watu watajazana kwa Pajemunjy1 na huyu mupya Unlimited Internet @ 10,000 call 0753932250 maana cha kubundi kilikuwa kinawapunguzia mvuto.
Sitoshangaa kusikia Member humu anakamuliwa hadi 20,000 coz mtaka cha mvunguni sharti alaliwe na mwenye kitanda ati