Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
Kwa jinsi alivyoandika dushe ndiyo furaha yake mkuu!Inabidi kujua unapenda nini, unataman nini, kipi furaha yako, ukipata vitakupa faraja .
Kazi kwetu vidume kwenda pm sasa!![emoji53][emoji53][emoji53]Kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe....! Msg sent and delivered!
Dawa ya upweke ni kushinda humu JF tuYangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya
Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.
Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.
Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Mbona haujamuita ndugu yakohahàaaaa"" kwahiyo hpo unawaponda wanaume wa Jf kijanja"".ili wengine wanao jifnya wanajua Ku care wakufuate Pm """
Jf imeshapatwa aiseee''"" mademu wa badoo wamevamia huku ""
Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani “kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui”.
aaahghhh huyu "" mtoto kama nimeanza kumuelewa hvi "" acha nimmendee mwenyew "" yule Jamaa anatabia za ufisi akija anaweza kunizidi keteMbona haujamuita ndugu yako
Duh![emoji15]Punguza kujiuza mkuu[emoji86] [emoji86]
Huyo boy wako aliekuacha ni yule aliekuwa na manyoya mengi mwilini?