Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
Bro nimekuzoea kwenye Ile thread yetu Wana wa Santiago bernabeu.... Kumbe na huku upo???? Ha ha ha ha ha ha ha umetisha
hivi viatu vyeusi kutoka kulia kwa aliyevaa nyekundu.....
Salamander, wanafanana hao, hebu angalia!Mwenye kigauni cheupe, wapili kutoka kushoto ndio mwenye viatu vya kuvutia.
Viatu vizuri sana Salamander sijui walinunua wapi
Hebu ngoja tumwulize Honey Faith au miss chagga kama anaweza kutuambia
hivi viatu vyeusi kutoka kulia kwa aliyevaa nyekundu.....
Vya kwanza kushoto nimevipenda