Alivyoingia Mzanzibari mwenzake na ndugu katika Imani akaunga juhudi sasa ni wa kumsifu na kumuabudu Samuya.Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
Hebu acheni tashtiti za kike pambaneni na mambo ya Lissu kwanza nyie madomo debeAlikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
Kobazi ndio maana marekani inawauwa wapumbavu nyinyiUbaguzi wa kikanda wa chadema na kina kitima umemrudishia akili zake..........amekataa unyumbu makalio.
Umesikia tena Wazanzibar wakitaka Serikali 3?Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
Kwa sasa ni chawa wa Mwajuma Kizimkazi.Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
Upo nje ya mada na kwa akili hizo ndo maana makatekista wanawapyambya nyie. Hata hivyo, hakuna Raha kama kufa ukiwa unapigania haki......Raha hatari. Kama unafikiri mauaji ya USA yanawaogopesha watu basi you have another think coming, dogo!Kobazi ndio maana marekani inawauwa wapumbavu nyinyi
Kufa kwa kupigania haki ndiyo mpango mzima, hata wale wa MO29 ni mashujaa wa Tanganyika.Upo nje ya mada na kwa akili hizo ndo maana makatekista wanawapyambya nyie. Hata hivyo, hakuna Raha kama kufa ukiwa unapigania haki......Raha hatari. Kama unafikiri mauaji ya USA yanawaogopesha watu basi you have another think coming, dogo!
Unamaanisha wale majambazi waliokuwa wanapora Mali za watu?!!!Kufa kwa kupigania haki ndiyo mpango mzima, hata wale wa MO29 ni mashujaa wa Tanganyika.
Sizungumzii majambazi ya Iran yanayolazimisha watu kuvaa kininja kwenye joto kali huku binti zao wanaishi kwa kuvaa vibikini kwenye nchi za baridi. Wonders shall never end.Unamaanisha wale majambazi waliokuwa wanapora Mali za watu?!!!