Wajamani tusaidiane JK ni mchumi kweli au...?

Greater Thinkers

Jamani nimeona threads zenu humu nikagundua wengi wenu humu hamfahamu hata hizo MDGs.
FYI below are MDGs
GOAL 1. Eradicate extreme poverty and hunger
GOAL 2. Achieve Universal Primary education
GOAL 3. Promote Gender Equality and Empower women
GOAL 4. Reduce Child Mortality
GOAL 5. Improve Maternal Health
GOAL 6. Combat HIV/AIDS, Malaria and Other Diseases
GOAL 7. Ensure Environmental sustainability
GOAL 8. Develop a Global Partnership for Development

My Take ni kwamba sione hata goal moja tukii achieve, I stand to be corrected

pardon, # 4 please! Mortality or immortality? I co-sign with u though,
 
mimi nina mgojwa tumbi, manesi waliacha kuwahudumia wagonjwa ili wapate fursa ya kumsikilizi kikwete awakabidhi jengo jipya. Karibu kila dawa sharti ununue hati mabomba ya sindano!

hiyo ndiyo tanzania tuipendayo....

 
Back
Top Bottom