Wajamani, "it feels good 2 know ur limits."

Mie hiyo push back style tu. Have you considered ntoke vipi for the new 2013 year?

King'asti wangu....lol.....tafuta kitambaa ya kaniki itakutoa bila mfano..........
 
Last edited by a moderator:
your very right once you accept the limits you will live in peace, kweli baba kichwa cha nyumba hata haki sawa zihubiriwe vipi lazima maamuzi ya kichwa cha nyumba yatolewe na baba na si mama

Mamzalendo.....................mipaka ndiyo busara tupu unapoitambua...........
 
Last edited by a moderator:
Honeymoon muda wote huo kazi unafanya lini mis u sana

nivea speaking from the bottom of my heart......................it feels good being me...........
 
Last edited by a moderator:
..........hii Juma Nature au Afande Sele wataweza kuimba ?! ........maana sioni vina wala mizani wala uzito !!:confused2:

Ally Kombo nani kakuambia unahitaji vina, mizani au uzito katika kulonga kilichoko moyoni mwako?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kumekucha X-mass hii.....

Naamini itakuwa poa sana.!!!

Ila kwa hilo shairi, huo ushauri utakuwa unatekelezeka kama tu "other factors remain constant"

jouneGwalu "Other factors" zinatokea wapi na wewe unatetea uhai wako.............
 
Last edited by a moderator:
"Kisukari kubwa" na kiharusi kwako itakuwa mwiko
Kwa sababu unakula kulingana na mkono wako
Kujilinganisha ni mtego wewe sasa umeukwepa
Kwani kila mmoja alizaliwa kivyake-vyake..
Wajamani,
"it feels good 2 know ur limits."

Mkuu hii beti ya mwisho nimeikubali, ni kweli ukitambua kuwa kila mmoja kazaliwa kivyake vyake hutakuwa na muda wa kujilinganisha!! otherwise utabaki kuumia roho bure au kujiona wa maana kumbe hamna kitu.
 
nivea speaking from the bottom of my heart......................it feels good being me...........
hahahahahaah haya ulikuwa wapi maana wote tunamajukumu hila hupitapita kujua yaliojiri
1 unajua kuna msukule umrfufuka huko lamada
2 unajua Smile kafiwa na mama yake wewe
3unajua kuna mtoto huko mbeya alichomwa nakulazimishwa kula kinyesi chake??
siasa sifagilii sana
 
Last edited by a moderator:

upo juu
 
mkuu, heshima kwanza.
:focus:
Unajua hali halisi ya maisha kwa sisi watanzania ndo inasababisha mpaka tunashindwa kujua limit yetu. Yani mtu unajikuta unahangaika na kupamabana kwa sana ili utoke, naturaly unapotoka hatua moja kuingia nyingine matatizo ndo yanaoongezeka sasa inakubidi ujipange tena for the next move.
 
Kunivuta mshipini, nao ni uwezo wako,
Kujua kina kilindini, usipime maji ya ugoko,
Na ukitaka kwenda mwezini, usigeuze limbuko,
Pimwa usijipime, kujua uwezo wako
 
Ruta nimekupoteza kitambo mkuu? Ndo mambo ya kwenda nyumbani kusalimia nini? Si unajua kwetu hata simu hazikamati. Ahhhhhhhhh
 
Wengi huamini ukikaza musuli utafanikiwa,
Wengi hujidanganya, "the sky is the limit"
Wengi hujipooza, lolote lawezekana.............
Lakini ukweli wabakia tunayo mipaka ya nguvu..
Wajamani,
"it feels good 2 know ur limits."

..............


Ni kweli,
na utenzi umenifanya nifikiri
ni kweli,
ila tunajisahau
 
[MENTION]
Kinyoba[/MENTION] hivi wewe na aliyeanzisha mradi wa vikoba mnafahamiana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…