WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani?

Hii ni tamaa tu ya wanaume wa kiluo kujihalalishia utamu. yaani je akiwa na watoto wa kiume kumi huoni hilo zee litafaidi sana. tena utasikia linauliza mbona likizo hii hamji au linatishia kutoa laana.
 

mnh... urongo tu??!!!:twitch:
 
teh teh teh.....utawajuwa tu wajaluo,ila kama ni kweli hii mila ipo ujaluoni,nawaonea huruma mabint walioolewa ujaluoni,wanalo ilo limewaganda:clap2:
 
jaluo they are very proud,utasikia jaluo anajisifu, Mimi ni Jhaluo wa Asili na Tabia
ni watani zangu

IF YOU ARE NOT PROUD OF YOUR TRIBE THATS UP TO YOU.

AM PROUD TO BE A LUO, PURE ONE FROM KENYAN LUO FATHER AND TANZANIAN LUO MOTHER...

watani zangu... THEN YOU MUST BE A HAYA.
 
jamani, wanakula wakwe ni kweli kabisa, mbona mnabishaa, fanyeni utafiti. mtashangaa wenyewe. lakini hata hivyo wako biased, baba tu ndo anamla mke wa mtoto wake wa kike, mama hawezi kuliwa na mme wa binti yake....hapo hawako sahihi..
 
asante kwa taarifa. Bora waoane wao kwa wao, wengine tutaweza wapi? Uchafu na laana tupu, ninaomba mungu nisimpende mjaluo wala mkurya.

watu wengine bwana mnapenda sifa. Na hata ingekuwa kweli kwa hiyo watu wote wa kabila lako watakatifu..
 
jamani, wanakula wakwe ni kweli kabisa, mbona mnabishaa, fanyeni utafiti. Mtashangaa wenyewe. Lakini hata hivyo wako biased, baba tu ndo anamla mke wa mtoto wake wa kike, mama hawezi kuliwa na mme wa binti yake....hapo hawako sahihi..


hongera naona unajitahidi.
 
Jamani na wasihi msiconclude tabia ya mzee mmoja sijui kafanyaje, kuwa ndo tabia ya wajaluo,na nyinyi mnaosema mmewauliza sijui wajaluo kumi rafiki zenu wote wanafiki na waongo,hiyo tabia hawana wajaluo!tafadhali mtuombe msamaha kwa kashfa hii
 

Is the source that credible au ni stori za kitaa.... Mbona hii imekaa ovyo sana??
 
jamani, wanakula wakwe ni kweli kabisa, mbona mnabishaa, fanyeni utafiti. mtashangaa wenyewe. lakini hata hivyo wako biased, baba tu ndo anamla mke wa mtoto wake wa kike, mama hawezi kuliwa na mme wa binti yake....hapo hawako sahihi..

Leta utafiti wako tuujadili....
 

Sidhani kama kuna cha ukweli hata kimoja hapa
Baadae hukawii kusema Wa-baba wa kichaga wana lala na wake za watoto wao
 


you must be a narrow minded person to say something like that.

Hebu tueleze wapi usabato au dhehebu lingine limeondoa hizo ngumi tanzania?
 
you must be a narrow minded person to say something like that.

Hebu tueleze wapi usabato au dhehebu lingine limeondoa hizo ngumi tanzania?
kwani mimi nimesemaje, mimi nilisema wasabato hawawezi kufanya chochote, wewe unaamini wanaweza? hakuna kanisa linaloweza kufanya chochote kama icho...ndo maana maovu yamejaa hadi Jerusalem israel. hadi dunia itaisha kutakuwa na watu wabaya na watu wema...so nafikiri mwenye akili ya maboga ni wewe, na si ajabu ni msabato wewe, umechanganyikiwa na kukariri mistari ya Bible na Mungu haumwoni katika maish ayako kwasababu unaamini sheria inaweza kukuokoa badala ya neema katika Yesu Kristo...pole sana.
 
Nachoogopa sana kuhusu wajaluo ni tamaduni za kuwanyang'anya wajane mali. Yaani kuna kijana jirani yetu ametajirika ghafla kisa kaka yake kafa kwa hiyo yeye sasa ndo mkurugenzi wa kampuni ya kaka yake. Wife anakuja kupiga magoti kuomba ela watoto waende shule. Na hii si kesi moja ziko nyingi naogopa nikizitaja humu mnaweza kuwafahamu wahusika. Hacha tu hawa jamaa waoane wao kwa wao.
 

hii ni kweli kabisa,binafsi nimethibitisha kwa sampo zaidi ya moja toka huu mkoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…