Wengine hawaujui ugali wa bada, hebu kwa faida ya wote tufahamishe
Ahsante zake Kasie kwa ufafanuziWaanika makopa yakauka vyedi wayatwanga wapata unga mtana wasonga ugali wa bada...
Wauda na msunga na ngogwe za kuchoma .....uuwooooo......[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ahsante zake Kasie kwa ufafanuzi
Kazi kwa wapishi sasa, maana somo tayari.
Hongera zako bibie
Post yako imenambia mambo matatu
1. U muandishi mzuri, waandika kama waongea, nimependa khasa code mixing yako.....'yakauka vyedi' na 'unga mtana' , wankumbusha Korogwe, Mombo na Sambaani, waambie pia watu wa Lindi kuwa Ngogwe ni nyanya chungu
2. U mpishi hodari wa vyakula vya asili, kupika bada kwataka ufundi maana unga wanata kama supagluu. Mpishi wa bada ni mtaalamu wa jiko.
3. U mwalimu mzuri, nimegundua hapo kwenye somo la upishi wa bada, najua u mzuri wa kufundisha mengi.
Hongera zako.
Vya Ndani!!!Nashukuru kwa jicho lako kuona vya ndani.
Humbled [emoji120].
dada kasie umeongea kitu kimenikumbusha mbali sana.acha tuuMahaba tele tele...
Waletewa mchuzi wa papa ulotiwa nazi na ugali wa bada....😋😋
dada kasie umeongea kitu kimenikumbusha mbali sana.acha tuu
Tanga Kunani
Katika eneo ambapo kumejegwa solo hili kulikuwa na ngamia wanafugwa. Uliwahi kuwaona?View attachment 2040596
Ulishawahi KUWAONA mchamba wima MWENYEWE? Hili suali sijalielewa, au ndo akili yangu nyembamba au muuliza suali hajui auliza nini