Waja leo waondoka leo?

Waja leo waondoka leo?

Napatamania sn Tanga
Unapakumbuka??
Tanga-city-tour.jpg
dsc_0309.jpg
Tanga%20Port_2.jpg
k14b4p.jpg
maxresdefault-4.jpg
railway-station-in-tanga-tanzania-AB9MET.jpg
 

Attachments

  • IMG_3504.JPG
    IMG_3504.JPG
    162.1 KB · Views: 8
Tanga kuzuri. Nilitamani na mwaka huu nifike tena kutembea.

Inshallah mwakani ntaenda tanga nikazurure bara 12, mikanjuni, duga,
 
Ahsante zake Kasie kwa ufafanuzi
Kazi kwa wapishi sasa, maana somo tayari.
Hongera zako bibie
Post yako imenambia mambo matatu
1. U muandishi mzuri, waandika kama waongea, nimependa khasa code mixing yako.....'yakauka vyedi' na 'unga mtana' , wankumbusha Korogwe, Mombo na Sambaani, waambie pia watu wa Lindi kuwa Ngogwe ni nyanya chungu
2. U mpishi hodari wa vyakula vya asili, kupika bada kwataka ufundi maana unga wanata kama supagluu. Mpishi wa bada ni mtaalamu wa jiko.
3. U mwalimu mzuri, nimegundua hapo kwenye somo la upishi wa bada, najua u mzuri wa kufundisha mengi.
Hongera zako.
Jamani, wengine hapa wa bara kweli, sasa maelezo yenu naona mnahabarishana/mnaelezana badala ya kutufanya wasiojuwa bada waijue. Ebu tumieni Kiswahili rahisi basi. Ama siyo hiypo elimu itakuwa yenu tu. Nasi twataka jaribu pika hilo bada.
 
Back
Top Bottom