Waja leo waondoka leo?

Waja leo waondoka leo?

Jamani, wengine hapa wa bara kweli, sasa maelezo yenu naona mnahabarishana/mnaelezana badala ya kutufanya wasiojuwa bada waijue. Ebu tumieni Kiswahili rahisi basi. Ama siyo hiypo elimu itakuwa yenu tu. Nasi twataka jaribu pika hilo bada.
Kasie njoo tena ufundishe kupika bada, somo limekuwa gumu, wananchi watachangia MB
 
Tanga kuzuri. Nilitamani na mwaka huu nifike tena kutembea.

Inshallah mwakani ntaenda tanga nikazurure bara 12, mikanjuni, duga,
In sha Allah
Ufike na
Raskazone
Sahare
Makorora
Donge
Kwa njeka
Mwahako
Mwakidila
Chumvini
Usagara
Na
Magomeni
 
In sha Allah
Ufike na
Raskazone
Sahare
Makorora
Donge
Kwa njeka
Mwahako
Mwakidila
Chumvini
Usagara
Na
Magomeni

Nguvumali kote huko. Bado chumvini huko mwahako, mwakidila.

Sema naipenda tuu tanga, hali ya hewa watu wake. Ukitembea tuu town jioni ni utalii tosha
 
RAHA YA TANGA Ni SIRI na
SIRI ya TANGA ni UPENDO ,Na
UPENDO WA TANGA NI -:
KUHESHIMIANA
KUTHAMINIANA
KUPENDANA
KUSAIDIANA
KUPEANA n.k
Hongera zenu
Tutajifunza kutoka kwenu watu wa Tanga
 
Nguvumali kote huko. Bado chumvini huko mwahako, mwakidila.

Sema naipenda tuu tanga, hali ya hewa watu wake. Ukitembea tuu town jioni ni utalii tosha
Ndo wenyejwe wasema Tanga Raha!
 
Umepajua???
sam_0503.jpg
sam_0514.jpg
sam_0501.jpg
1-1.jpg
95540.jpg
 
Miaka hiyo TA kuna baiskeli balaa, kila nyumba ina baiki
 
Back
Top Bottom