Mi nimeshuhudia ngumi laivu hapa mburahati kisa jamaa alienda kwa mchoma mahindi akamuuliza bei gani muuzaji akamwambia 200, mteja akamuuliza muuzaji mwisho? Muuzaji akamjibu mwisho wa hindi ni gunzi jamaa akamaindi akam2kana ndipo muuzaji akamtandika na hindi la kichwa ndo tafrani ikatokea.