Kikojozi... Na mzee wa kuoa kila siku huyoo. Kumbe alienda CHADEMA kwa lengo la kuua CHADEMA?? Bila kujua ana pambana na taasisi iliyo imara? Sasa ameamua kuwa gombanisha wenzake na wapiga kura wao.. Mjinga sana huyu jamaaHuyu jamaa nilijuwa anaakili timamu
Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo
God forbid.
Wamaukweli habari yako dadakeTena wamesahau kuwa kuanza upya si ujinga,waondoke hata wote
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.
Nini maoni yako?View attachment 827400
Enzi hizi makamanda walimuita huyu jamaa "muraa fita ni fita tu". Leo hii unamuita boya wa kiwango cha lami? Ha ha ha.Mwita ni BOYA wa Kiwango Cha LAMI.
Namfahamu vizuri, sijui hata hapo alifikaje.Huyu jamaa nilijuwa anaakili timamu
Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo
God forbid.
Leo umetema point... hopefully umepata MORNING Glory ya nguvu sanaaaHivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?
Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?
Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..
Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..
JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..
Hivi hata wakihama au wakaacha siasa ni hasara ya nani?hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria..muda si mrefu kabla ya kampeni kuanza kama kawaida watakao katwa huko ccm nao watakimbilia cdm na hayo ndio maisha ya siasaLeo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.
Nini maoni yako?View attachment 827400
Tume sababu ili tuelimike, mi naona kama kuna ukweli, migogoro ndani ya chama cha CDM iko siku nyingi toka enzi za BOB MAKANI - RIP, kwa sasa mtu akisema mnasingizia kununuliwa, namlilia Shujaa Chacha WangweHuyu jamaa nilijuwa anaakili timamu
Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo
God forbid.
KweliHuyu jamaa nilijuwa anaakili timamu
Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo
God dir
Akiba kwa MTU mpuuzi?
Huyu huyu jamaa alipita sehemu mbalimbali nchini akiiponda Ccm kwa akili na nguvu zake zote, kwamba imeoza haifai kwa lolote kwa chochote
Leo nayeye kaoza! What about that?
Hahahahaa ngaja nicheke kwa nguvu. Vita vya panzi........Jana,Leo na hata milele ni BOYA.
Mrangi kwa hapo umeongea kitu vha maana sana. Nakubaliana na wewe. Nibora kusemea utashi wake kuliko kusema ni boya kwa kuwa kaondoka kwenye chama chako.Awepo cdm Awepo act cuf etc,nachomanisha Wanasiasa wote asilimia kubwa ni wanafki wachumia tumbo tu....
Ova