Waitara: CHADEMA inapokea ruzuku ya sh 329 milioni kila mwezi, Dr Mashinji analipwa mshahara sh 7mil kwa mwezi!

Waitara endelea na maisha yako ccm ya Chadema waachie wenyewe kina Mbowe, wewe endelea kwa Sasa kuuza Sera za chama chako...full stop.
 
na hao clouds hv angekua mtu wa wa upinzani aliyetoka ccm anasema mambo ya ccm wangempa airtime kweli?clouds wamezimiss sana call za jiwe that why wanatumia nguvu kubwa kujikomba ccm bora hata walivyotolewa hewani huu ujinga watu wengi hawajauona
 
Huu ndio ukweli mchungu mkuu. Muda utaongea wakati utakapofika. Kuna mengi sana yanaendelea katika hilo "Genge" la Mwenyekiti. Waitara anaongea yale ambayo wengi wao hata Lissu anatamani lakini anaogopa kutamka hadharani. Ila mioyo yao imekinai Mwenyekiti na GENGE lake.
NB: Mods kwa nini mmeunganisha huu Uzi wa britanicca ?
Atachoka na ingawa kwenye vijungu huwa ni ving'ang'anizi, mtakujamchoka kama Mpendazoe. Bado kitambo kidogo tu.
 
Back
Top Bottom