Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mbunge anayeibuka na maneno ya kujikomba ili kulinda kibarua chake huyo ni ndumila kuwili.
Nadhani sasa hivi Waitara anaiwazia sana nafasi yake ya ubunge pale Tarime ndiyo maana anayafanya mambo ya hovyo.
Ebu msikilizeni kwanza ndiyo mtajua namaanisha nini.
Hivi huyu ndiye mbunge anategemewa auchambue mchakato wa kubinfsisha bandari kwa manufaa ya taifa?