Waitara anajiaibisha kila kukicha bungeni

Waitara anajiaibisha kila kukicha bungeni

Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
Spika anasema wameipitisha lakini kuna maoni tofauti kutoka kws wansnchi. Sasa sijui bunge lilimuwakilisha nani
 
Back
Top Bottom