Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 7, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Maelfu ya watu nchini Israel wameandamana kupinga ughali wa maisha nchini humo. Imekadiriwa kuwa kati ya watu 250,000 hadi 350,000 walikusanyika katika maandamano makubwa kabisa kufanywa mjini Tel Aviv.

  Waandamanaji wanatoa wito kwa serikali kufanya mageuzi makubwa, ili kupunguza gharama za nyumba, elimu, ulezi wa watoto na huduma za afya. Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Benjamin Netanyahu, amekwepa kutimiza madai ya waandamanaji, lakini ameunda kamati ya mawaziri, kuchunguza madai hayo.
   
 2. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bado huku kwa wadanganyika.................!
   
 3. w

  woyowoyo Senior Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa nao sìhuwa wana sema kuwa wao ni watoto wa mungu nao wana njaa?
   
Loading...