Waislamu wauliwa kinyama

Status
Not open for further replies.

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
WAISLAMU WAULIWA KINYAMA NA KUFUKIWA MILIMNAI KAMA MIZOGA

huko KILINDI mkoani TANGA ni harufu ya damu za waislamu watoto wadogo na wanawake waliouliwa na askari wa TANZANIA
baada ya kufanya mauaji hayo na ubakaji kundi la askari hao sasa wamepelekwa wengine na wao waka oneshe utaalamu wao wa kuuwa na kubaka walivyo fundishwa ndani ya makambi yao
hali ni mbaya hakuna muandishi anaye weza kupatia uandishi fasaha utako fafanua mauaji hayo ambayo yana elekezwa kwa waislamu
kosa lao hao waislamu likiwa ni wao kuamua kuishi kiislam kwa wake zao kuvaa hijabu ya kisheria kwa mujibu wa dini ya kiislamu na si kufunika nywele tu kama wava avyo wahuni wa mijini halafu wakaita kuwa ndio hijabu ya kiislamu

asili ya mzozo ni kugoma kulipa ushuru mtu mmoja tu ulitokea katika kijiji kingine lakini askari wauaji wakaelekezwa katika kijiji cha waislamu na mpka leo kazi yao ni kuuwa kubaka na kuchoma nyumba kisha kufukia maiti milimani tangu lini kesi za kodi askri wakaenda na bunduki?

hakuna gazeti tv redio wa FB inayo ripoti kwa kina swala hili

hii ni dalili tosha kuwa chuki za kidini zipo juu sana dhidi ya uislamu na hata baadhi ya wakristo wamekuwa wakali katika mitandao ya kijamii pale tu waislamu wanapo post habari kama hizi na kuanza kurusha matusi na kutukana na kusema DELETE afungiwe etc huku wakijua wazi wazi kuwa chinja chinja hiyo kila mtu amekwisha isikia lakini chuki zilizo jaa ndani ya vifua vyao zinawafanya kuwa wapofu hawataki kabisa kujadili mauaji haya kwa hekma na busara bali huwa wanakuwa mbogo

redio za kiislamu na magazeti hakika ni wahuni na matapeli wanao tumia neno uislamu kufungua vituo vyao lakini wote wanafanya kazi kupambana na waislamu
kwani redio au tv kusoma qurani si hoja kuwa ndio ya kiislamu bali hata vituo vya misuc navyo huwa wana vupindi vya dini

hii ni dalili waislamu sasa watatoka usingizini zile porojo za nchi haipendelei dini nchi haina dini haki sawa haki za binadamu democrassi utawala wa bila upendeleo nchi yetu kwanza amani ya nchi etc na upumba na upuuzi kama huu waislamu sasa zindukeni hawa watu wamesha pewa agizo
na obama UWA BAKA WAISLAMU
nakupiga kura ni upuuzi tu kwani mchujo wa wagombea ubunge au uraisi huwa mchujo kwanza wa ndani ya chama unaitisha watu ambao wana chuki na uislamu ata kamamajina yao ni ya kiislamu na wakawa waningia misikitni ili kupata kura za waislamu hivyo yeyote anaye fikia hatua ya kugombea ubunge au urais huwa kisha kubali kutesa waislamu la sihivyo atakatwa mapema kabisa kwa kuitwa mdini


 
utafiti

Shutuma nzito sana hizi ila umeziwasilisha pasipo ushahidi wowote. Ni vema ukawa more specific na uvunjwaji huo wa haki za binadamu kwa kuwataja hata waathirika.

Chanzo cha mzozo unaouzungumzia sasa si mtu kukataa kulipa kodi, hiyo issue ingemalizwa kirahisi tu kwa kutoa ushirikiano kwa serikali yenu ya kijiji na mgambo, chanzo haswa cha dola kuwashukia huko ni mauaji ya askari mgambo na kutwangwa risasi OCS kulikofanywa nanyi. Kwa hapo mlipofikia pasipo kufahamu mliikaribisha dola kuwacholea mstari wa nidhamu, ule mstari unaoitofautisha dola na raia.
 
Last edited by a moderator:
1.Umesema kijiji cha waislamu??????nilikuwa sijui kumbe kuna vijiji vya kidini siku hz

2.Mwinyi ni dini gani????na Kikwete je???? Dr Bilali je?

ninachokushauri jenga hoja yako vizuri na wala usiihusianishe na dini....km unataka kuwatetea basi fanya km ni watanzania wenzio
na si vinginevyo tumechoka na habari za udini na uchochezi.habari hii imetangazwa sana na ITV sijui kwa vyombo vingine maana sikuangali
 
Yakweli au ndio yaleyale ya kilasiku a.k.a MoU.
 
al Qaeda al Shabab al Shaytwan sympathizer at work/
 
Hiyo story ndo hivyo hivyo ilivyotokea halafu vyombo vya habari hawaandiki ukweli kwakuwa wana madhumuni yao ,eti wanawaita wapinga jk ,hawa makafiri hawa vyombo vyao vya habari havisemi hata siku moja madhara waislamu wanayoyapata na hii serikali yao ya kanisa lakini inshaa a allah haki itapatikana tu, sisi tuna roho ,mioyo na ngozi kama nyinyi yanayotupata nanyi yatawapata pia
 
Hii habari îpo kidaku sana,mimi sidhani kamaàpa nchini kuna kijiji wanaishi watu wa dini moja tu,kwan iyo kodi walitakiwa kulipa watu gan? Mimi naona urekebishe heading na taarifa pia,sema watu(usitaje dini) na sio waislam
 
 
makafr nyinyi hamuuwezi uislam dini ya Allah mtafanya hila zenu ila @ last mtakuwa chini ya sharia
 
habari ni ya kuaminika tatizo magezti yenu ni ya kinafiki yanachagua hbr

Tuthibitishie na sisi tuamini ndugu, ujue labda tv,magazeti na radio hazijapata ushahidi ndio mana wameweka tu mgogoro wa watu kupinga kutoa ushuru na mauaji ya mgambo na kujeruhiwa kwa OCS.

Ila kama una picha za hao raia wakiwa wanauwawa huko milimani ni vyema ukaweka hapa na sie tuone na tuamini. Vinginevyo na wewe utakuwa mnafiki tu na mzandiki.
 
Aiseeh, unatisha... Nadhani umelishwa limbwata ya al Shabaab. Watanzania tuwe macho itikadi kali ya dini tayari iko nchini. Hebu tuambie..., hivi hapa tanzania tangu lini watu wanaweza kuanzisha kijiji kinachofuata sheria ya kiislaam na kudharau mamlaka ya taifa? Thread yako ni uchochezi inafaa itupiliwe mbali.
 
habari ni ya kuaminika tatizo magezti yenu ni ya kinafiki yanachagua hbr
Yawezekana haya yakawepo au laa lakini kwajinsi hilitukio lilivyo tokea na lilivyo elezwa na viongozi wa mkoa wa tanga kuwa kuna ugaidi na kuna kuikataa serikali ya kikafir ya jk ndio imepelekea vyombo vya usalama vikaingia kwa nguvu ya ziada na lmpuct ndio hii tunayo isikia.lakini tumuombe yule mama wa haki za binaadam aende na wataalam wake aje atueleze ukweli wake. Kwani mama niwetu sote hawezi kuegemea mahala fulani.
 
Kama media kama ITV wanaweza kupeleka mwandishi hadi goma kuripoti wanashindwa kweli kupeleka wanahabari kilindi ili wafahamishe jamii nini hasa kinaendelea hapo.
 
Kwanza POLENI, Pili UVUMILIVU na UDHIBITI wa hisia zenu wandugu, vugu vugu hili lina bidii kusubiri repoti ya uhakika.... hadi sasa hakuna tamko rasmi kutoka idara za kiintelejensia au hata serikali. Amani na usalama wa wananchi ni kipaumbele katika Taifa. Subira na hekima zitawale jamii wakati kama huu.
 

Ndugu yangu udini Tanga na baadhi ya maeneo ya nchi hii yanayokaliwa na watu wenye akili finyu na wenye itikadi za kiislamu kali kama zako hamta kaa muendelee hata siku moja!!!ww kama unaakili timamu unathubutuje kupost thread iliyo jaa uongo na upuuz kwenye mtandao wa kijamii ambao unajua kabisa kunawatu wasomi na wapembuz wa mambo,nenda kakae ufikirie upya unatakiwa kupost thread za aina gan?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…