utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
WAISLAMU WAULIWA KINYAMA NA KUFUKIWA MILIMNAI KAMA MIZOGA
huko KILINDI mkoani TANGA ni harufu ya damu za waislamu watoto wadogo na wanawake waliouliwa na askari wa TANZANIA
baada ya kufanya mauaji hayo na ubakaji kundi la askari hao sasa wamepelekwa wengine na wao waka oneshe utaalamu wao wa kuuwa na kubaka walivyo fundishwa ndani ya makambi yao
hali ni mbaya hakuna muandishi anaye weza kupatia uandishi fasaha utako fafanua mauaji hayo ambayo yana elekezwa kwa waislamu
kosa lao hao waislamu likiwa ni wao kuamua kuishi kiislam kwa wake zao kuvaa hijabu ya kisheria kwa mujibu wa dini ya kiislamu na si kufunika nywele tu kama wava avyo wahuni wa mijini halafu wakaita kuwa ndio hijabu ya kiislamu
asili ya mzozo ni kugoma kulipa ushuru mtu mmoja tu ulitokea katika kijiji kingine lakini askari wauaji wakaelekezwa katika kijiji cha waislamu na mpka leo kazi yao ni kuuwa kubaka na kuchoma nyumba kisha kufukia maiti milimani tangu lini kesi za kodi askri wakaenda na bunduki?
hakuna gazeti tv redio wa FB inayo ripoti kwa kina swala hili
hii ni dalili tosha kuwa chuki za kidini zipo juu sana dhidi ya uislamu na hata baadhi ya wakristo wamekuwa wakali katika mitandao ya kijamii pale tu waislamu wanapo post habari kama hizi na kuanza kurusha matusi na kutukana na kusema DELETE afungiwe etc huku wakijua wazi wazi kuwa chinja chinja hiyo kila mtu amekwisha isikia lakini chuki zilizo jaa ndani ya vifua vyao zinawafanya kuwa wapofu hawataki kabisa kujadili mauaji haya kwa hekma na busara bali huwa wanakuwa mbogo
redio za kiislamu na magazeti hakika ni wahuni na matapeli wanao tumia neno uislamu kufungua vituo vyao lakini wote wanafanya kazi kupambana na waislamu
kwani redio au tv kusoma qurani si hoja kuwa ndio ya kiislamu bali hata vituo vya misuc navyo huwa wana vupindi vya dini
hii ni dalili waislamu sasa watatoka usingizini zile porojo za nchi haipendelei dini nchi haina dini haki sawa haki za binadamu democrassi utawala wa bila upendeleo nchi yetu kwanza amani ya nchi etc na upumba na upuuzi kama huu waislamu sasa zindukeni hawa watu wamesha pewa agizo
na obama UWA BAKA WAISLAMU
nakupiga kura ni upuuzi tu kwani mchujo wa wagombea ubunge au uraisi huwa mchujo kwanza wa ndani ya chama unaitisha watu ambao wana chuki na uislamu ata kamamajina yao ni ya kiislamu na wakawa waningia misikitni ili kupata kura za waislamu hivyo yeyote anaye fikia hatua ya kugombea ubunge au urais huwa kisha kubali kutesa waislamu la sihivyo atakatwa mapema kabisa kwa kuitwa mdini

MFADHILI WA UGAIDI MBARONI
Jeshi la Polisi, Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, limemkamata mfanyabiashara wilayani humo, Bw. Juma Kheri maarufu kwa jina la 'Chifu Abiola', akituhumiwa kufadhili kikundi cha kigaidi kilichokuwa na kambi tatu Kata za Lwande na Negero.
Akizungumza na Majira, Mjini Songe, Mkuu wa Wilaya hiyo, Bw. Suleiman Liwowa alisema Bw. Kheri alikamatwa siku tatu zilizopita na yupo mahabusu wilayani Handeni.
Hata hivyo, Bw. Kheri alipekuliwa katika nyumba anayoishi, duka la jumla na nyumba ya kulala wageni kuanzia 8:30 mchana hadi saa 12.30 jioni.
Bw. Liwowa alisema polisi walipata shida kubaini jina lake halisi, kwani alikuwa anatambulika kwa majina ya Juma Sahel, lakini baadaye wakabaini anaitwa Juma Abdallah Kheri.
"Hadi sasa bado anashikiliwa polisi Mjini Handeni, watu walikuwa wakimjua kwa majina mengine lakini hivi sasa jina lake halisi libebainika," alisema Bw. Liwowa.
Alisema watu wengine wanaohusishwa na vitendo vya ugaidi wamekamatwa kwenye Kijiji cha Gombero, Kata ya Kibirashi wilayani humo.
Aliwaomba wakazi wa Wilaya hiyo,wasiwachukie waumini wa dhehebu la Ansaar Sunna kwani si wahalifu bali waliokuwa wanafanya vitendo vya kigaidi ndiyo wahalifu.
"Serikali haipambani na Ansaar Sunna, bali wahalifu, sisi tunaheshimu dini zote hivyo mnapowaona waumini hao msije mkawafanyia vitendo vibaya," alisema Bw. Liwowa.
Aliongeza kuwa , awali hawakujua kama kundi lilo ni tishio lakini tangu wameanza kupambana nalo, wamebaini ukweli na nguvu yao ni kubwa.
Bw. Liwowa alisema hadi sasa kikundi hicho kimeweza kusambaratishwa lakini polisi bado wameweka kambi kwenye Kata za Negero na Lwande.
Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo, alisema kundi hilo ambalo lilikuwa likifanya vitendo vya ugaidi katika Kata za Lwande na Negero, lisihusishwe na dini ya Kiislamu bali hao ni magaidi, majasusi na wanatakiwa kulaaniwa na kupingwa.
"Lile ni kundi la kigaidi si wahalifu wa kawaida, lakini naomba lisihusishwe na dini ya Kiislamu, sisi sote tunafahamu hakuna dini inayoruhusu vitendo vya ugaidi, kuvuruga amani," alisema. Chanzo: MAJIRA
WAARABU NAO WAHUSISHWA NA UGAIDI!!
Mpaka sasa watuhumiwa 11 wametiwa mbaroni, ikumbukwe kuwa walikuwa makambini wakiishi na familia zao hasa watoto wa kiume, wakipewa mafunzo ya Karate, watoto hao tayari wamepelekwa kwenye vituo vya ushauri. Jumla Kambi zilikuwa 3 na tayari zimesambalatishwa. Akiongea na ITV Mbuge wa eneo husika ameilaum Serikali kwa kupuuzi taarifa zilizotolewa nawananchi akiwemo huyo mbunge. Taarifa hizo zilihusu ujio wa wageni kutoka Iran takribani miaka mitatu iliyopita, ambao walikuja kufundisha dini, lakini ghafla baada ya ujio wa wageni hao, wananchi walishangaza na kuibuka kwa tabia ya kuwachalaza viboko watu wasiokwenda Msikitini. Agalizo: Kumbe wakati mwingine uvunjifu wa amani unatokea kwa sababu ya Serikali kupuuzia taarifa za raia wema.