Hata dgi wa tiss wengi ni waislam 1. Imran kombe 2. Rashid othman 3.diwani msuya 4. Hassy kitineThey dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Kabisaaa, mwambie ukweli.Amka utakojoa kitandani.
Sindano ya moto hii,bila shaka dozi imemkolea vizuri.Mleta Mada, angalia sana usije ukamkasirisha MUNGU. Natumaini kuwa MUNGU ameyapuuza makufuru yako hayo. Usilete udini ndugu.
Nitakuuliza neno moja kuhusu hao watawala unaosema hawako hai. Je, Maalim Self Mungu amrehemu, alikuwa Mkristo?. Je unafahamu kuwa Maalim Seif alikuwa Icon halisi ya vyama vya upinzani?. Tena alikubalika kwa watanzania wote dini zote.
Maisha ya mtu yanaamuliwa na Muumba sio wewe wala Ibilisi . Acha kujikinai ndugu omba toba.
Haya, wanamuziki wakubebaje?. Ivi, nyimbo zinazoimbwa leo na hao uliowaorodhesha, ni mstaarabu gani atakayeangalia au kusikiliza nyimbo zilizojaa maneno machafu . Mfano, "mke wa mtu, sumu, mume wa mtu maziwa ".
Ule wimbo Nyegezi. Haya ule wimbo Sukari, unaelewa maana yake?. Hao wanakubeba wewe mwenye mtazamo huo na sio wastaarabu.
Tulio wastaarabu tunapoona michezo ya ajabu ajabu Kama Mapooka tunahamisha channel.
"Wanatubeba", watubeba kutuelekeza Shimoni.
Kalaga bahho.
Asante kwa uzi unaomfanya mtu afikiri baada ya kuusoma.They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Umeandika maelezo kibao hayaeleweki!Asante kwa uzi unaomfanya mtu afikiri baada ya kuusoma.
Kuna vitu umeandika hapo inabidi ukubaliane na UKweli ntakaokupa.
Umegusia kuhusu michezo tuanze na bwana Hashim Thabit pamoja na kuwahi kwake kucheza ligi Bora duniani ya vikapu (NBA),hajawahi kuwa successful katika ligi hiyo kama ulivyoandika, ni failure yule inabidi tuseme UKweli japo unauma,katika vipimdo vya pre seasons,wakati ambapo ndo wachezaji wa NBA hujinoa kwa ajili ya kupandisha viwango vyao yeye alikuwa anarudi kijirusha kwenye manight club.
Umeandika pia kuwa eti asilimia zaidi ya 70 ya wachezaji wa vilabu vikubwa nchini ni mlwaislamu,wazisaidiake timu zao mbona timu hizo ni failures wakubwa inapokuja suala mashindano ya kimataifa,hata uwepo mkubwa wa waislamu katika timu za Taifa unazisaidiaje timu hizo? mbona bado ni kichwa cha mwenda wazimu?
Kuhusu wealth,bado hatuna list ya kuaminika inayoelezea utajiri wa waTanzania asilimia kubwa ya watu huficha uKweli wa mahesabu ya thamani za biashara zao,kwa hiyo hao unao waona wewe unadhani ni matajiri sana kwa kuhesabu idadi ya magari yao au nyumba zao .
Mengine yote yanavumilika lakini sio hili la kwamba biashara wanafanya watu wasio na elimu wala akili are you nuts or braindead?Wakristo wengi wameenda sana shule ivyo kuingia kwenge entertainment world sio rahisi,waislam shule ni ndogo ivyo option kwao ni kuingia kwenye biashara na fani za burudani.
Hii ipo sana USA,blacks wengi wako kwenye fani za sanaa wakati weupe wako levels zingine kabisa eg. Elon M.
Labda uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,umezoea kusoma udaku mfupi mfupi.Umeandika maelezo kibao hayaeleweki!
subiri povu kwa Jews wa Mbande
ukweli mtupuuuu mama Debora. ila jiandae kwa maweeee
Giving ni baraka kubwa sana maishani watu hawajui tuGod bless you
Kuna watu ubahili unamfanya afe vibaya na mali yake kuisha
Ila kutoa kuna faida zake na wala asiogope mtu na kufikiri ataishiwa akitoa
Kuna sehemu nyingi za kutoa sadaka hata hospital ukienda kuna watu wana shida sana
My mother use to go every morning with breads but now she’s old she send my sister and her grandsons
Kuna jamaa yetu yeye kila mwaka anawalisha futari wanafunzi wa secondary jirani mwezi wote wa Ramadhan kwani hawana special meals for Ramadhan
Imagine wanavyomshukuru
Japo siuungimkono udini lakini hapo umeandika pumba mkuu hebu ifute tu.Nani akupige mawe? Shida ya nyie watu huwa hamjiamini na huwa mnahisi muda wote mnaonewa.
Mfano. Kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) mlijenga msikiti kwenye eneo la chuo. Chuo ikabomoa kwasababu hicho ni chuo cha kutoa elimu na siyo sehemu ya dini.
Hakuna mtu atakayekupiga mawe kwenye ukristo kwasababu ''kama wewe hauna dhambi, uwe wa kwanza kumtupia mawe mtu yule'' Tukupige mawe, kwa kumtetea mungu gani?
uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wa Asia, na asia wengi ni musilimaa, sasa ulitegemea hivyo ulivyoorodhesha vidhoziwe na watu wa dini gani wakati wenye hela ndani ya nchi hii ni watu wa asia?.Usafiri wa majini na nchi kavu umetawaliwa na waislamu pia,Azam marine,zanfast ferries,msisahau meli za Azam sealink bahari ya hindi na wale silent ocean
Private issueWaislam ni wanafiki nambari mpja diamond ni muislam anafunga ila ana kampuni ya kubet.kamari ni dhambi,magerezani kumejaa waislam,wasengge rema wengi waislam,wakaa uswahilini wengi waislam .wakristo higukuza mwixi kimyakimya
na madai ya Muhammad said kuwepo mfumo kristo Tanzania tuyapinge.Wazehe nawaona wamekereka kinoma haswaa,,,japo kuna baadhi sishadadii kwa maana Mwenyezi Mungu ameharamisha.
Giving ni baraka kubwa sana maishani watu hawajui tu
Utajiri sio haramu wala dhambi kwa uislam, labda hayo mengineVyote hivyo unavyowasifia navyo kwenye vitabu vyao ni haramu kwa maana nyingine ni dhambi