ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,126
Hapo kwenye ufisadi hapo! Hebu nipe list ya waliovuma kwenye ufisadi nifungue mafile yao nione ni wa dini ipi.Sio kweli.
Ni mtazamo wako na upo huru kuutoa.
Je katika hizo awamu zote ulizozitaja ni awamu zipi uchumi ulionekana kuimarika?
Wengine walibana kuimarisha uchumi.
Halafu suala la watu kupotezwa na kuuawa lipo kwenye awamu zote na halina mahusiano na dini ya anayeongoza.
Maana hakuna dini inayomuambia kiongozi ama mtu yeyote kauwe ukiwa Rais sana sana makundi ya kihalifu na yanayonasibishwa na magaidi yanajiimarisha zaidi nyakati za awamu zinazoongozwa na hao unaowatetea.
Ufisadi nako umeshamiri awamu zilizoongozwa na wao..
Yote kwa yote ni kuwa hakuna mahusiano ya dini ya mtu na jinsi alivyoongoza.
Wanasiasa karibu wote wana dini mdomoni tu!
Wengi wanakusanya ila return kwa waumini ni hamna kabisa, tofauti na wenzetu nyie watu huwa mnatoa sana, na Siri kubwa ya kubarikiwa ni utoaji kwa wenye uhitaji, baraka ziko kwenye kutoa na kugusa maisha ya watu na ukifanya hivo unabarikiwa
Hawana mambo mengi,sawa mwingereza naona hujui kiswahili vzr, britain wazima?
afu waislam wa swala tano huwa wanafanikiwa haraka sana, sijui wale jamaa kuna kitu cha ziada wanatumia?
Kuna dini ya mtu imekashifiwa?Sijajua ni kwanini hii mada mpaka sasa bado inaexist, mods ni kama hawafanyi kazi yao ipasavyo.
[emoji1787][emoji1787]nmemkumbuka late MAGUFULINdiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Mama deborah@naona wadau humu wamekuelewa vibayaKuna dini ya mtu imekashifiwa?
Inabdi wawekwe wataalam wa nyanja nyingine piaMada nzuri sana but at the same time italeta shida endapo itafika mbali.
Endapo watu wataleta hard feelings kwenye hii mada italeta tabu sana, ukabila, udini, Racism ni vitu hatari..
Kilichoongeleka hapa ni ukweli kwa kiasi kikubwa.
Hapa nilipo sio kwamba nafurahia kuzaliwa mkristo wala muislam, sio kwamba napenda kuzaliwa msambaa, wala mchaga wala mmakonde.
sio kama nafurahia kuzaliwa mweupe wala mweusi, but nimezaliwa nikiwa hivi na nashindwa kutafuta ukweli wa mambo sababu sijui hatima yangu baada ya kuzaliwa na kufa ni nini, Aliyenipa uhai huu anajua nini hatma yangu hapa duniani.
Sidhani kama nitaeleweka kwa urahisi ila nikieleweka kwa baadhi nitashkuru sana.
Dah Yani mda wa kufanya mambo yako ni maendeleo akija mgalatia mwenzetu ni mwendo wa kulia, kusaga meno na kusifia kwa kwenda mbeleWakristo ni roho mbaya na nongwa ..Utaona akistaafu Samia lazima aje mkristo katili sijui shida nini..
Kwenye makanisa shida ni Hizo hixo utapeli WA kutumia dini.
Kwa hiyo tufanyeje ?They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Ukiwa na roho mbaya na kukosa huruma haudumu kwanza na magonjwa ya pressure, moyo lazima yakupate tu hayo hukwepiMimi ni mkristo ,huu ndio ukweli..Leo hii Marais wote Wakristo wako kaburini lakini Waislam wapo sasa fuatilia tawala za kikristo utaona walivyokuwa na nongwa na Kwa hiyo wanakufa kwa sonona kutokana na matendo Yao.
Sadaka ni kugusa watu wengi ndio purpose ya life, hata waliobarikiwa wengi ni watoaji hata maandiko husisitiza kuhusu sadaka na mafungu ya kumi but wengi hupuuza, pia watu watoaji wengi huongoza kuwa na furaha na ni ngumu kuwa na depression, Mimi na kipato Cha kawaida ila hhujitahidi kutoa, the more I give the more huwa nafuraha Hadi watu hunishangaa na kuniuliza Siri ya furaha yangu. One day nilikuwa nimebakiwa na hela kidogo na sikuwa na nyingine then someone akaja kuniomba nimpe kumlipia hospital bill nikamlipia, baadae nikaja kupata hela kubwa kuliko Ile niliyotoa na milango mingine ikafunguka zaidi.Mama yangu huwa anatusisitiza sana kutoa sadaka
Anasema ukiwa na huzuni toa sadaka, ukiwa nazo toa na ukiwa na majonzi toa
Saidia kila wakati
Naapa juzi nilitoa sadaka kubwa na baada ya masaa matatu tu nikapata Dili la kazi ya 3m chapchap nikamshukuru Mungu sana
Kama una amini na mambo yanakunyookea
Hata magerezani wamejaa haohao. Vibaka, walawiti, magaidi , wahuni wa Humphrey Polepole ni hao. Wanaoongoza kufeli shule ni haohao. Wenye kubeba mimba za utotoni ni haohao..They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Sio kweli.
Ni mtazamo wako na upo huru kuutoa.
Je katika hizo awamu zote ulizozitaja ni awamu zipi uchumi ulionekana kuimarika?
Wengine walibana kuimarisha uchumi.
Halafu suala la watu kupotezwa na kuuawa lipo kwenye awamu zote na halina mahusiano na dini ya anayeongoza.
Maana hakuna dini inayomuambia kiongozi ama mtu yeyote kauwe ukiwa Rais sana sana makundi ya kihalifu na yanayonasibishwa na magaidi yanajiimarisha zaidi nyakati za awamu zinazoongozwa na hao unaowatetea.
Ufisadi nako umeshamiri awamu zilizoongozwa na wao..
Yote kwa yote ni kuwa hakuna mahusiano ya dini ya mtu na jinsi alivyoongoza.
Wanasiasa karibu wote wana dini mdomoni tu!
Sadaka ni kugusa watu wengi ndio purpose ya life, hata waliobarikiwa wengi ni watoaji hata maandiko husisitiza kuhusu sadaka na mafungu ya kumi but wengi hupuuza, pia watu watoaji wengi huongoza kuwa na furaha na ni ngumu kuwa na depression, Mimi na kipato Cha kawaida ila hhujitahidi kutoa, the more I give the more huwa nafuraha Hadi watu hunishangaa na kuniuliza Siri ya furaha yangu. One day nilikuwa nimebakiwa na hela kidogo na sikuwa na nyingine then someone akaja kuniomba nimpe kumlipia hospital bill nikamlipia, baadae nikaja kupata hela kubwa kuliko Ile niliyotoa na milango mingine ikafunguka zaidi.
Kwa mifano hai aliyoitoa mleta mada hapa majina yote yanauhusiano na uislamu na kila mtu anajua ni waislamu,tafuta kichochoro kingine mkuuFact zipi? Majina yana uhusiano na dini? Nenda Hong Kong mfano mzuri pia nenda Uarabuni majina ya kiarabu hayana uhusiano na dini, yanatumiwa na dini zote.
Hapa ndio utagunduwa ujinga wa mtu mweusi ulipojikita.
Hata dgi wa tiss wengi ni waislam 1. Imran kombe 2. Rashid othman 3.diwani msuya 4. Hassy kitineThey dominate and represent Tanzania in many aspects of life: