waislamu wamebadilisha salamu

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Baada ya sekeseke la jana ni kwamba sasa hivi kariakoo ukimwambia mtu assalam aleykum anakujibu Milele Amina
 
Duh kweli kichapo nomaaa!
Leo ukipita kariakoo
ukimwambia m2 asalaam
aleykhum anajibu milele amina.
 
Huu ndo uchochezi, inamaana waislam wamekuwa waoga, aya jamani wakirudi hapatatosha na biashara haztafanyika. Al d best
 
Back
Top Bottom