Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Wakulima Waislamu katika kijiji cha Gorja nchini Pakistani wanachangisha fedha za kusaidia kujenga kanisa kwa ajili ya wakristo wanaoishi nao kijijini hapo.
Licha ya eneo hilo kuwa maarufu kwa tofauti za kiitikadi, lakini hilo halijawa kikwazo kwao.
Hii ni ishara kubwa kwa wakaazi wa eneo husika wanavyoweza kuleta maelewano na kuvumiliana.
Waislamu wamekuwa wakienda msikitini kuswali na wakitoka huwa wanakuja kujenga kanisa.
NB.. Sasa wakuu hasa waislamu.. Sio ufedhuri na wala sio chuki hapana wakuu nieleweke hivyo, waislamu hawa haya mafundisho ya kushirikiana kujenga nyumba za ibada, wanatoa kutoka katika kitabu gani.? na mtume gani.!? maana sijawahi sikia wala kuona jambo hili.. isipokuwa mambo ya jamii kwa ujumla mfano hospital, shule, visima, barabara, ofisi za umma, mnaweza kushirikiana bila kuangalia itikadi kwasababu ni vya wote,sasa hili jipya limetoka wapi..!?
Karibu..!