Waislamu nijibuni haya maswali

Waislamu nijibuni haya maswali

Anataka wataje kila kitu imekuwa kitabu cha historia hicho, hata kwenye kisa cha watu wa pangoni kwenye quran si wanasema kuwa wanauliza na kubishana idadi ya wale watu walikuwa wangapi, ila lengo sio idadi lengo ni funzo,
Ndio maana mialiko ya ftari mingi 🤔

Asante kwa hii elimu sheikh Abdul malik 🙏🙏🙏
 
Huu usenge ndio nini umeaandika hapa
Hata sielewi nikujibu nini mbulula wewe
Ndio maana huwa nasema nyinyi walokole mavi ni vilaza, wote na wenzenu humu elimu iliwapita kushoto sasa mnajifanya mtaonekana usomi mkichambua upupu upupu
Hujui hata kuandika na wala kuhoji
Sawa hongera wewe unayejua kuandika na kusoma vizuri Quran na umeshindwa kujibu hata swali moja.
"Soma Quran ili uwe mkristo"
 
Dini yako inakufundisha kutukana? Baadae utasema karibu kwenye uislamu ni dini ya haki na amani😀😀😀😀
Ingekuwa vyema ungejibu hayo maswali
Hakuna swali lolote hapa kilaza, umeandika upupu mtupu, usingekimbia shule ndio tatizo lenyewe hapa elimu ilikupita kushoto
 
Sawa hongera wewe unayejua kuandika na kusoma vizuri Quran na umeshindwa kujibu hata swali moja.
"Soma Quran ili uwe mkristo"
Nyinyi walokole ni vilaza, mlikuwa mnaona nyota nyota shule, halafu cha ajabu kila siku mnadhuria darasani lakini bichwa empty set
 
Punguza jazba sheikh. Maswali ni magumu sana?😁😁😁😁😁
Wewe ambaye hukuwa hauoni nyota nyota madrasa jibu hayo maswali😀😀😀😀
 
Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake
1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa

2. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini

3. Nitajie majina ya wafuasi wa Issa?
Quran 3:52 Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu

4. Kwanini waislamu bado wanafanya mayahudi kuwa marafiki zao?
Quran 5:51 Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Waislamu wana manabii zaidi ya 12 mayahudi (nimeandika kama ilivyo kwenye Quran na waislamu wanavyosema). Je, Waislamu wameenda kinyume na Quran kama inavyosema?

Hawa ndiyo manabii mayahudi (nimeandika kama waislamu wanavyosema na kuandika)
Katika Uislamu, manabii wengi wa Kiyahudi wametajwa kwenye Quran na Hadith. Hawa ni baadhi ya manabii wa Kiyahudi waliopo kwenye Uislamu.
1. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa

N.B
Moderator usiunganishe huu uzi na uzi mwingine
Hapo umewakamata kweli kweli
 
Punguza jazba sheikh. Maswali ni magumu sana?😁😁😁😁😁
Wewe ambaye hukuwa hauoni nyota nyota madrasa jibu hayo maswali😀😀😀😀
Wewe kilaza soma comment yangu ya kwanza au lugha haipandi,
 
Kwa kuwa wewe ni kipanga. Nijibu hayo maswali😀😀😀😀😀
Sijaona hata umejibu swali hata mmoja😀😀😀
 
Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake
1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa

2. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini

3. Nitajie majina ya wafuasi wa Issa?
Quran 3:52 Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu

4. Kwanini waislamu bado wanafanya mayahudi kuwa marafiki zao?
Quran 5:51 Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Waislamu wana manabii zaidi ya 12 mayahudi (nimeandika kama ilivyo kwenye Quran na waislamu wanavyosema). Je, Waislamu wameenda kinyume na Quran kama inavyosema?

Hawa ndiyo manabii mayahudi (nimeandika kama waislamu wanavyosema na kuandika)
Katika Uislamu, manabii wengi wa Kiyahudi wametajwa kwenye Quran na Hadith. Hawa ni baadhi ya manabii wa Kiyahudi waliopo kwenye Uislamu.
1. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa

N.B
Moderator usiunganishe huu uzi na uzi mwingine
Wakikujibu nitag mkuu
 
Wanajua kabisa Isa hakuwa na baba ndio maana alipewa ubini wa mama yake jambo ambalo kwenye Uislamu halipo. Mwanamke hana mamlaka yoyote lakini huyo Isa anaitwa kwa jina la mamaye.

Tatizo wanaona aibu kukubali kwamba kuna tatizo mahali
 
Back
Top Bottom