Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,711
- 9,317
Wapi umeona wanasema idris, hud, saleh,ibrahim na ismail ni wayahudi mkuuQuran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake
1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa
2. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini
3. Nitajie majina ya wafuasi wa Issa?
Quran 3:52 Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu
4. Kwanini waislamu bado wanafanya mayahudi kuwa marafiki zao?
Quran 5:51 Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Waislamu wana manabii zaidi ya 12 mayahudi (nimeandika kama ilivyo kwenye Quran na waislamu wanavyosema). Je, Waislamu wameenda kinyume na Quran kama inavyosema?
Hawa ndiyo manabii mayahudi (nimeandika kama waislamu wanavyosema na kuandika)
Katika Uislamu, manabii wengi wa Kiyahudi wametajwa kwenye Quran na Hadith. Hawa ni baadhi ya manabii wa Kiyahudi waliopo kwenye Uislamu.
1. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa
N.B
Moderator usiunganishe huu uzi na uzi mwingine
Kuwataja Idris,Nuh,Hud,Swaleh,Ibrahim,Ismail,Is-haq na Yaqub kuwa eti ni Manabii wa kiyahudi kunaonyesha wewe bado hamna unachokijua. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa
Ila jf mwendo wa mada za imaan tuWapi umeona wanasema idris, hud, saleh,ibrahim na ismail ni wayahudi mkuu
Anataka wataje kila kitu imekuwa kitabu cha historia hicho, hata kwenye kisa cha watu wa pangoni kwenye quran si wanasema kuwa wanauliza na kubishana idadi ya wale watu walikuwa wangapi, ila lengo sio idadi lengo ni funzo,Maswali yenyewe sio ya msingi na wala hayana faida katika imani
Yaani anataka watu watajwe majina yao mara wamezaliwa wapi yaani wanafikiri Qurβan ni kitabu kwa ajili ya historia ya watu wa kaleAnataka wataje kila kitu imekuwa kitabu cha historia hicho, hata kwenye kisa cha watu wa pangoni kwenye quran si wanasema kuwa wanauliza na kubishana idadi ya wale watu walikuwa wangapi, ila lengo sio idadi lengo ni funzo,
Nimeuliza kuhusu Issa na siyo Yesu.Nabii Issa na yesu ni watu wawili tofauti, Nabii Issa hakufundisha watu wamuite mungu wala mwana wa mungu, yesu kafundisha watu wamuite mungu na mwisho akatundikwa msalabani na viumbe wake, kwahiyo acha kupoteza muda kutaka ku compare nabii Issa A.S na yesu mungu alietundikwa msalabani, lazima mambo yatakuchanganya na hautaelewa.
Kwahiyo nikisema Issa amezaliwa chini ya mtende huko Zanzibar. Kwahiyo hapo ni sahihi?Yaani anataka watu watajwe majina yao mara wamezaliwa wapi yaani wanafikiri Qurβan ni kitabu kwa ajili ya historia ya watu wa kale
At least hilo swali la mwisho kidogo linaleta maana ingawa bado nalo hamna kitu maana hapo tumeambiwa wayahudi wa dini yeye anadhani wayahudi wa kabila
Kingine ni mambo ya kucopy na kupaste mwishowe unaumbuka.Sasa hata kiarabu hakipandi watajibuje hizo deep hoja zako mkuu
Kwahiyo unataka kuthibitisha kuwa Quran haijitoshelezi na haijakamilika?Maswali yenyewe sio ya msingi na wala hayana faida katika imani
Kwani hakuna manabii mayahudi?Kuwataja Idris,Nuh,Hud,Swaleh,Ibrahim,Ismail,Is-haq na Yaqub kuwa eti ni Manabii wa kiyahudi kunaonyesha wewe bado hamna unachokijua
Kwahiyo dini ni mchongo na ni ugonjwa wa akili?Maswali yenyewe sio ya msingi na wala hayana faida katika imani
Naanza na hili kwanza, muda wa kufuturu huu1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa
Huu usenge ndio nini umeaandika hapa. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini
Dini yako inakufundisha kutukana? Baadae utasema karibu kwenye uislamu ni dini ya haki na amaniππππNaanza na hili kwanza, muda wa kufuturu huu
pumbavu wewe, kilaza nyang'au wahed unaenda kuokota vipande vipande halafu unauliza maswali ya kichoko
Soma hii lugha kama inapanda halafu elezea wapi panasema alizalia kwenye mtende pumbavu wewe
View attachment 3548769