residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,276
- 15,028
Dini haijakataza kushirikiana wala kuishi na wasio waislam ila dini inakataza baadhi ya mambo. Mfano kusherehekea sikukuu zenu.
Mfano xmass, akija kusherehekea nawe xmaa maana yake anakubali kuwa yesu alisurubjwa msalabani na kuuwawa kinyume na utaratibu (imani) ya dini kuhusu tukio lile, ila ikiwa ndani ya siku hiyo hiyo ikawa umemualika aje na familia, zipate kuonana, kufahamiana nakdhalika hapo hakuna kosa,
Sijui kama umenielewa.
Ni kama kungekuwa na 9/dec na wengine wanaamin ilitokea 12/jan hivyo wa 9/dec akila na wa januari maana yake ameamini ya Januari.
Hivyo kama unampa futari mpe tu kama siku nyingine isiwe kwa nia ya KUSHEREHEKEA,
Hii fatwa ya sheikh fawzaan ina walaakinj mkubwa sana kwangu inanipa shida sana na hii fatwa..“Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya uzushi ni haraam kukila,
Uharamu wa kitu haufanyi vitu vya halali kuwa haramu mfano uharamu wa disco BAA haufanyi chipsi zinazouzwa pale ziwe haramu.Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya uzushi ni haraam kukila
Wanaopika wali kwenye bidaa huo wali haujapikwa kwa ajili ya kuhuisha kwa sababu bidaa ipo hata kabla ya chakula.kwa sababu hakikuandaliwa chakula hicho ila kwa ajili ya kuhuisha Bid-‘ah (jambo la uzushi)
Hapa shekhe anaposema kwamba "NI KUKIRI" ina maana anawajibia wale wanaokula chakula.kula chakula chao, ni kuwapa nguvu kuwasaidia na kukiri juu ya jambo lao la uzushi wanalolifanya
Kwa hiyo wewe hata chakula chá matambiko unakulaMimi binafsi nakula hiko chakula kama ni cha halali kuliwa.
Sili kwa lengo la kusherehekea sikukuu hiyo bali nakula kwa lengo la kuitikia wema niliofanyiwa na ndugu huyo.
Wakristo wakiowana alafu wakasilimu basi hawaambiwi waowane tena kisa tu ndoa yao ilikuwa haikubaliki na uislamu hapana.
Ndoa yao itakubalika na hakuna haja ya ndoa mpya maadamu kitendo cha ndoa kwao kilifanyika hata kama kwa taratibu zao za kikristo.
Sasa kama uislamu unakubali ndoa za wakristo kwa taratibu zao inakuwaje leo uislamu ukatae chakula tu cha mkristo eti kisa kimepikwa siku ya sikukuu yao ?
Nashukulu wewe ni mkristo msafi,Muisilamu wa kweli kama unaelimu,huwezi kufanya kitu kwa kumlizisha binadamu.Sisi tunafanya kwa kutaka radhi za AllahWewe ni muislam wa hovyo tuu View attachment 2188871
Umeongea ukweliAmesema Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
“Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya uzushi ni haraam kukila, kwa sababu hakikuandaliwa chakula hicho ila kwa ajili ya kuhuisha Bid-‘ah (jambo la uzushi). Kwa hiyo haifai kushirikiana nao, wala kula chakula chao kwenye siku hiyo, kwa sababu tendo la kushirikiana nao ama kula chakula chao, ni kuwapa nguvu kuwasaidia na kukiri juu ya jambo lao la uzushi wanalolifanya.”
NA ALLAAH ANAJUA ZAIDI
[Fataawaa Shaykh Swaalih Bin-Fawzaan Al-Fawzaan: Swawtiyaat Sabab Tahriym Twa’aam Al-Bid’ah Ka-Bid’ah Al-Mawlid An-Nabawiy]
ngoja waje wenye ilmu watupe fatwa kwenye hili na c mihemko.
Shida ni chakula au shida ni matambiko ?Kwa hiyo wewe hata chakula chá matambiko unakula
Umeongea ukweli
Pole ndugu,kuna Uisilamu wa kusoma na wa kurithishwa unabaki kuwa sababu wazazi walisome dini,wewe husomi. Unajua Muisilamu hata ukiwa safarini ni hatali kulakula nyama ovyo sababu hujui aliyechinjaShida ni chakula au shida ni matambiko ?
Kama nakula chakula kilichopikwa kwenye ngoma why nisile kilichopikwa kwenye matambiko ?
Kama kula ni kufanya tambiko basi sitakula.
Anasema anataka kumfutarisha, nenda kwenye ya hoja yake, mbona unakuwa mzito wa kuelewa hoja.?Ni msimamo wa waislamu walio wengi kuwa sikukuu za tofauti na dini zao kushiriki kwa namna yeyote ile ni dhambi
Unanifurahisha sana mkuu badala ya kujibu hoja zangu unaanza kunishambulia kuwa sisomi.Pole ndugu,kuna Uisilamu wa kusoma na wa kurithishwa unabaki kuwa sababu wazazi walisome dini,wewe husomi. Unajua Muisilamu hata ukiwa safarini ni hatali kulakula nyama ovyo sababu hujui aliyechinja
Mbona kuna mtu kamaliza mjadala amefafanua vizuri kabisa kuhusu chakula cha kukalibishwa na wakristo,kwanza kidesturi sio vizuri,hivi ukifika kabla hujaanza kula utauliza huyu kuku kachinja nani?kiujumla waisilamu wanaojielewa ni ngumu sanaUnanifurahisha sana mkuu badala ya kujibu hoja zangu unaanza kunishambulia kuwa sisomi.
Kama wewe ni msomi unatakiwa ujibu comment yangu kielimu ili nijione huo ujinga wangu.
Huo uislamu wako ndio wakurithi fatwa za watu ambazo huzichambui na kuona ukweli wake.
Mimi sipo katika zama hizo,mimi sasa hivi nilishavuka hizo steji za kusomewa dini mimi nasoma dini sisomewi na shekhe wala fulani.
"Haujamuoa" ungeelewa hilo neno usingekupa shida, rudia tena kusoma heading ya hiyo mada, ukishindwa kuelewa tena nitajua kumbe shida yako ulikuwa mzito sana shule kwenye mahesabu.Kuna uzi humu sikumbuki heading yake ila content ina ujumbe kuwa; muislam hatakiwi kula futari iliyoandaliwa na mke ambaye hajafunga nae ndoa, nadhani kwa mantiki hii unatakiwa usimpelekee kwakuwa haijaandaliwa na mkewe, ila mdau akauliza, je futari inayouzwa migahawani yote imeandaliwa na walioolewa kwa ndoa halali?
Hatimaye nimeupata[emoji116]
FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani
Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.www.jamiiforums.com
Mtume alipokaribishwa kula mbuzi aliyealikwa na yule asiyekuwa muislamu aliuliza kwanza nani kachinja ndio akala ?Mbona kuna mtu kamaliza mjadala amefafanua vizuri kabisa kuhusu chakula cha kukalibishwa na wakristo,kwanza kidesturi sio vizuri,hivi ukifika kabla hujaanza kula utauliza huyu kuku kachinja nani?kiujumla waisilamu wanaojielewa ni ngumu sana
Na kunavyakula vingine inawezakana ikawa Halamu kutokana na pato lá huyo mkristo,mfano anaishi kwa biashara ya Guest,au anafanya biashara ya bar,ni hatali kula chakula chakeUnanifurahisha sana mkuu badala ya kujibu hoja zangu unaanza kunishambulia kuwa sisomi.
Kama wewe ni msomi unatakiwa ujibu comment yangu kielimu ili nijione huo ujinga wangu.
Huo uislamu wako ndio wakurithi fatwa za watu ambazo huzichambui na kuona ukweli wake.
Mimi sipo katika zama hizo,mimi sasa hivi nilishavuka hizo steji za kusomewa dini mimi nasoma dini sisomewi na shekhe wala fulani.
Pole sana kwa maswali yako,wenda utakuwa sio Muisilamu.au ndiyo wale ukiona nyama,wewe twende tuMtume alipokaribishwa kula mbuzi aliyealikwa na yule asiyekuwa muislamu aliuliza kwanza nani kachinja ndio akala ?
Pole sana kwa kukosa majibu.Pole sana kwa maswali yako,wenda utakuwa sio Muisilamu.au ndiyo wale ukiona nyama,wewe twende tu
Wewe ni kilaza sana kwenye hii dini.Na kunavyakula vingine inawezakana ikawa Halamu kutokana na pato lá huyo mkristo,mfano anaishi kwa biashara ya Guest,au anafanya biashara ya bar,ni hatali kula chakula chake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117]Na kunavyakula vingine inawezakana ikawa Halamu kutokana na pato lá huyo mkristo,mfano anaishi kwa biashara ya Guest,au anafanya biashara ya bar,ni hatali kula chakula chake